hii jamii forum inawezekana ku-download hii application??

hii jamii forum inawezekana ku-download hii application!!?

Hata sijakuelewa jamani

Haina app hii kenyan talk

Mkuu kama vile umenena kwa lugha…sijakuelewa kabisa