Hii emoji imekaa kibabe sana bana!!!

Mods shkamooni, poleni na majukumu.
Napenda kucheka, kwa maandishi nacheka kwa emoji ila hii emoji ya kicheko imekaa kibabe mno mi kama mwanamke napata tabu sana kucheka kibabe hivi, NAOMBA MBADILISHE KAMA IPO NDANI YA UWEZO WENU

:D:D:D:D hebu ona hilo cheko ni kama nacheka kihutu!!!

Unamtania malaika mkuu?

Ndio nani huyo

Bakayoko

Hahahaha mm siipendi

Hata mie sikapendi ila basi tu waweke vile vya whatsapp…
Japo tumepewa lift tunaanza kupiga na honi
CC @The Tweet

Hahahah kwakweli watuwekee za WhatsApp wakimaliza wasisahau kutuwekea app @The Tweet

Wakenya labda ndio hucheka hivyo,.

Kwanza mtu gani wakijani?.

:D:D mtu wakijani.

:D:D:D:D:Dnacheka kikenya
Taratibu tumepewa lift ujue

Tusije tukashushwa, mana tumeanza kuwa wajuaji kuliko wenyeji. :D:D Tuendelee kucheka Kikenya

:saitan::saitan:

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Uje na huku nimevurugwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kama nakuona ulivomiss link

:cool::cool:

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

hahaha hi emoj inameno marefu sana

Chakubanga

Cheko la CHAMA CHA MAFAHARI