Hii emoji imekaa kibabe sana bana!!!

Mr. Shark

Senior Villager
#25
Mods shkamooni, poleni na majukumu.
Napenda kucheka, kwa maandishi nacheka kwa emoji ila hii emoji ya kicheko imekaa kibabe mno mi kama mwanamke napata tabu sana kucheka kibabe hivi, NAOMBA MBADILISHE KAMA IPO NDANI YA UWEZO WENU

:D:D:D:D hebu ona hilo cheko ni kama nacheka kihutu!!!!!
Upo shem,
Pacha wangu anaendeleaje aisee? Long time no see...!!!!!!
 
Chimgege

Senior Villager
#28
Mods shkamooni, poleni na majukumu.
Napenda kucheka, kwa maandishi nacheka kwa emoji ila hii emoji ya kicheko imekaa kibabe mno mi kama mwanamke napata tabu sana kucheka kibabe hivi, NAOMBA MBADILISHE KAMA IPO NDANI YA UWEZO WENU

:D:D:D:D hebu ona hilo cheko ni kama nacheka kihutu!!!!!
Ni emoji ya kibabe kwa kweli haiko romantic hiyo ni kwa ajili ya wababe kama sisi.
 
Top