Hi ya Etihad Airways kufuta direct route ya Dar-Abudhabi ni ya kweli?

[ATTACH=full]177379[/ATTACH]

Vijana wa chama watakwambia wamekimbia ujio wa Boeing Dreamliner 787-8

Naona kihindi hindi tu hapa

Tunazidi kutengwa kwa sababu ya roho mbaya na ya ujeuri ya wapumbavu wachache.

“tuko kwenye laiti tlaka”

Sifahamu sana haya mambo ya air transportation,kwani ni ndege ambayo ina wasafiri wengi sana?na kama ina wasafiri wa kutosha kwanini wakimbie ushindani…??

Kwani hizo air bajaj zetu zinaweza kufika Abu Dhabi, au ndio kila baada ya Km kadhaa zinatua kupozwa Injini mpaka ifike week tatu kama mmesafiri na meli

Ile mpya dreaminer tunayoisubiri ndo yenye uwezo mkubwa wa kuweza kwenda one way bila kuongeza maji kwenye rejeta hahahaha

Hahah!! Noma sana

teh yajayo yanasikitisha

Hii taarifa ni ya mashaka. Ukifanya booking kwenye site yao wanakubali

Kabisa.
They dont care

Wataleta fly dubai

Hawezi kugoma,siku ikifika watakufanyia transfer

ETIHAD ni miongoni mwa airlines ambazo ni cheap kwa Tanzania ,kuondoa direct route zake kutaathiri watz.

Lakin pia nawaza usumbufu wataopata watz pale Kenyatta Airpot.

Mwaka jana wakati nasafar kuelekea China nilitumia Etihad,but iliyokuwa inaanzia Tz ilijaa so waliniambia nikapnde ya kenya.utaratibu wao wanakupandisha kaenya airways from DSM to Naorobi,Hiyo Kenya Airway inatoka Dar saa 10 Alfajili, mnafika Nairobi saa 11. So tulikaa nairobi kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa saba mchana tukisubiri ETIHAD.

Kama ni kweli ,basi kaZi ipo

mbombo ngafu, mwisho wa siku watalii waliopanga kuja TZ itakua lazima wapitie Kenya, labda tutaanza kwenda kuwabeba huko na mapanga boi yetu

Kwani Da mange kasemaje mkuu

Duh china sijui kama tutaenda tena

Operations zao wanahamishia kwingine…