heloo

hello marafiki….

leo nilikua na suggest tuwaache watoto wacheze muda mwingi,…

ile ya kusema mtoto alale akue,si sahihi….

watoto ni kama wanderers of the world,

let them explore the world,

itawajengea confidence,team building skills,etc

these skills zitawasaidia baadae maishani…

Wanasema Kuna faida mtoto akilala masaa mengi per day

Mtoto anatakiwa kulala mapema na muda mrefu, si tu kwamba inasaidia kukua vizuri bali hata kiakili na kiafya pia…

Binadamu yoyote especially mtoto hutakiwa kupata muda wa kutosha wa kumpumzika…

Cc: @Mahondaw