Haya sasa Great Thinkers nimewaletea kazi ya kufanya hapa, welcome

REDEEMER.

Senior Villager
#1
Habari Great Thinkers

Kwa muda sasa toka JF itoke hewani tumekosa vyuma vya kunoa akili na kuulizana vipi mbona kumepooza hakuna mada mujarabu tokea tumeingia huku kwenye kambi ya kakuma..?

Well kule JF nilikua underground worker lakini huku nimeona nitupie hii ili kupima upepo wa side hii kama akidi imetimia au tuvute subira,

anyway mada zangu nyingi zilikuwa za nyuma sana enzi hizo za miaka ya 2010s lakini hapa kati ilibidi nikae bench baada ya kutoelewana na Kiranga japo nae alikuja kuquit lakini pia kulikuwa hakuna ile radha mpya kabisa every time ni Mungu Mungu Mungu while zipo topics kibao za kujadili.....

To make the long short leo nataka wana GT tukae kitako (hahaha) tujadili hili suala lilo mezani

 1. Afghanistan
 2. Iraq
 3. Sudan
 4. Libya
 5. Cuba
 6. North Korea
 7. Iran

Hizi ni nchi chache duaniani ambazo hazina/hazikua na system ya Central Bank System (Benki Kuu) kwenye monetary life nchini mwao na ndio nchi ambazo kila mtu anajua kitu gani kilitokea/kinatokea dhidi yao kutoka kwa mabepari wa ulimwengu huu wakiongozwa na beberu USA.

Karibu GTs unafikiri ni kwanini?

Is it coincidence?
 
REDEEMER.

Senior Villager
#6
Ni kwasababu wababe wa vita wamezitenga kwaaji ya kufanya majaribio ya silaa zao za vita.
Lakini mbona karibu zote zina utajiri wa mafuta?

Ni kwanini baada ya uvamizi wa Afghanistan na Iraq ndio kukaanzishwa hizo central bank?

Wachambuzi wa mambo tunahoji September 11 was inside job hakukua na shambulio lolote la kigaidi pale world trade ™ center bali ilikua ni the reason making for what everybody knows now.
 
REDEEMER.

Senior Villager
#7
IMF WB na Federal Reserves of the United States ni private institutions ambazo zipo kwa agenda za watu fulani fulani ambazo kazi yake ni manipulation and total control of the world economy kwa Kupitia local branches zao kwenye kila Taifa zinazoitwa central banks.
 
#8

Mkuu hii dunia ina mambo mengi sana, kile tunacho kijua ni kidogo sana kwa yale tusiyo yajua. Kuna hii familia ya Rothschild I guess ukiweza kuielewa angalau unaweza kuelewa dunia inavyo indeshwa. Tunatawaliwa na tusio waona.
 
Tindo

Village Elder
#10

Wangalau mada hii inafikirisha. Hapa nina uhakika wenye uelewa wa hii mada yako watatiririka. Ngoja tuangalie mada za wengine kisha tujimwage.
 
#11
Nadhani hayo yana uhusiano na Mpango Mpya wa Ulimwengu (New World Order) wenye nia ya kuusuka ulimwengu upya ili uweze kuwa tofauti na ulivyo sasa kwa maslahi ya mabepari wa magharibi wenye nia ya kuitawala dunia kiuchumi, kisiasa na hata kiroho. Anyway, ngoja nikabukue kwanza kisha nitarudi...
 
REDEEMER.

Senior Villager
#12
Mkuu hii dunia ina mambo mengi sana, kile tunacho kijua ni kidogo sana kwa yale tusiyo yajua. Kuna hii familia ya Rothschild I guess ukiweza kuielewa angalau unaweza kuelewa dunia inavyo indeshwa. Tunatawaliwa na tusio waona.
Here you are coming
Hii Rothschild, Rockefeller, Morgan families ni cancer kwenye kila janga kwenye huu ulimwengu zipo families kama 7 very superior and influencing kwenye secret societies ambao ndio wafanya world headlines and history
 
REDEEMER.

Senior Villager
#14
Nadhani hayo yana uhusiano na Mpango Mpya wa Ulimwengu (New World Order) wenye nia ya kuusuka ulimwengu upya ili uweze kuwa tofauti na ulivyo sasa kwa maslahi ya mabepari wa magharibi wenye nia ya kuitawala dunia kiuchumi, kisiasa na hata kiroho. Anyway, ngoja nikabukue kwanza kisha nitarudi...
Since the Rothschilds took over the Bank of England around 1815, wamekua wakijitanua kwenye nchi nyingine and their banking control over all the countries of the world. New World Order ni agenda pana sana japo hii target yao ni mechanism ya ufanikishaji wa NWO
 
#15
Habari Great Thinkers

Kwa muda sasa toka JF itoke hewani tumekosa vyuma vya kunoa akili na kuulizana vipi mbona kumepooza hakuna mada mujarabu tokea tumeingia huku kwenye kambi ya kakuma..?

Well kule JF nilikua underground worker lakini huku nimeona nitupie hii ili kupima upepo wa side hii kama akidi imetimia au tuvute subira,

anyway mada zangu nyingi zilikuwa za nyuma sana enzi hizo za miaka ya 2010s lakini hapa kati ilibidi nikae bench baada ya kutoelewana na Kiranga japo nae alikuja kuquit lakini pia kulikuwa hakuna ile radha mpya kabisa every time ni Mungu Mungu Mungu while zipo topics kibao za kujadili.....

To make the long short leo nataka wana GT tukae kitako (hahaha) tujadili hili suala lilo mezani

 1. Afghanistan
 2. Iraq
 3. Sudan
 4. Libya
 5. Cuba
 6. North Korea
 7. Iran

Hizi ni nchi chache duaniani ambazo hazina/hazikua na system ya Central Bank System (Benki Kuu) kwenye monetary life nchini mwao na ndio nchi ambazo kila mtu anajua kitu gani kilitokea/kinatokea dhidi yao kutoka kwa mabepari wa ulimwengu huu wakiongozwa na beberu USA.

Karibu GTs unafikiri ni kwanini?

Is it coincidence?
mkuu, all those countries have central banks which is a prerequisite to issuing a sovereign currency. in short, you are trading in conspiracy theories. samahani kiswahili ngumu.
 
chemical Ali

Senior Villager
#18
Lakini mbona karibu zote zina utajiri wa mafuta?

Ni kwanini baada ya uvamizi wa Afghanistan na Iraq ndio kukaanzishwa hizo central bank?

Wachambuzi wa mambo tunahoji September 11 was inside job hakukua na shambulio lolote la kigaidi pale world trade ™ center bali ilikua ni the reason making for what everybody knows now.
Nakumbuka haya maneneo aliyasema Ahmedinejad rais wa Iran wa kipindi hicho kwenye mkutano wa united nation security council
 
Bombabomba

Senior Villager
#19
Hongereni kwa Madaba yanguvu japo mwanitisha sana na hz sori za familia kadhaa kutawala dunia. Hapabobgo 2014-15 kuna watu wakisema hata tz kuna wababe wasiozidi 10 pale posta dsm ndio wanatawala nchi yetu, sikuwaelewa
 
#20

Mkuu funguka tuwajue hao wanao tutawala
Ni wakina Nani hasa hapa Bongo ,maana familia Saba zinazo tawala Dunia tayari tunazijua ,ili nami nikaombe kujifunza kwao masomo ya utawala wa nchi kwao
 
Top