Have you been broke and i mean real broke?

Thank God its friday lets start it off on a light note… They say money is like flowers they come and go depending on the seasons and that sponsee should regularly say hallo to folks because there comes a time when the sponsor dies and taking the money with them. I remember in high school dad would give us kshs 1000 to cater for shopping and pocket money for a 14 week term while our sisters would get 3000. You see there is no much you could do with that ammount except to prepare mkarango. For those who dont know mkarango its when you buy kimbo or kasuku cooking fat and a half kg of onions fry them in a sufuria return it in its tin and deep freeze it until it becomes solid. Armed with just a teaspoon of this mkarango your regular high school githeri would be atleast edible but having many friends like i did this stuff wouldnt last 4weeks. I remember one day being so broke and the only things i saw when i opened my box were kiwi,barsoap,tissue paper and colgate. I cursed that life na kulamba colgate kidogo na kufunga box na kurudi class the following day i exchanged an oxford dictionary for a couple of avacados with an entrepreneural school neighbour.Fast foward to 2007 when am newly employed with my priorities in the wrong places all the money was splashed on liquor and hitting the red light district i forgot to make household purchases so kuna siku ile mwezi iko corner i go to the kitchen to fix something to eat unga kwisha mayai tray imebaki moja sukari hakuna majani hawes saidi mchele out spaghetti iko na tomato sauce imebaki kidogo that night ladies and gentlemen niliboil mayai na spaghetti na kuwekelea sauce juu na kukula. I know its not an ideal supper that chef @Gio would recommend but a brother got do what he gotta do…wewe msoto imewahi kufikisha wapi? Birrioneas keti pale

25 Likes

Hehehe. Hio mkarango jameni

2 Likes

Hehehe I am not a chef, its just a a hobby tht I happen to be excellent at, as well as a couple of other things.
Nishawahi lala njaa just had water and 2 mandazi for a whole day, weh things were bad, survived with some torn shoes for about a month

5 Likes

1st time am hearing of mkarango, that was creative.

5 Likes

Kulala njaa one day is not being broke… Kuwa broke is being dry for weeks if not months ata rent huwezani…if several weeks/ever passed without ever pocketing 1k then you were broke… My first several months in Nairobi was hell

11 Likes

If you have not tasted mukarango you missed out Io ndio ilikua aromat ya them days…

1 Like

It happened to me, like you have said! Unakopa mpaka mwenyewe unajificha watu sasa! Nakumbuka niliamua kukopa mara ya mwisho, na sikopi tena whatsoever! Mwenye duka akakubali kunikopesha 1kg ya unga na roiko ya shilingi 25. Hiyo ndio nilikuwa napika for 3 days za mwisho. Sima ya roiko na chumvi!!! Baada ya kama 4 days nikapata windfall ya 1700/-! And such is life!

22 Likes

That was dope ukifungua tin kuchota teaspoon dorm mzima unaskia wakiuliza nani ako na mkarango aniokolee

1 Like

Boss niliexhaust mpaka shylocks

3 Likes

mkurango…those were the days!! i had only a 100 bob and no work na ni ile mathe amekushw ata hana pesa. sa so hapo naona itanipeleka 2 wks then after ndo nikufe. ilibidi niwe nabuy chapo nakula only one per day kama dawa for close to two weeks. naenda hoteli naekewa chapo na soup ya maharage ilikuwa free.Nilikuwa weak nakumbuka nikiletewa pussy kejani na kwenda kumpea push(by the way round ilikuwa ni moja pekee), nikaanza kuwalk ni kama miguu imekataa-kutembea kama vile calf huwalk after kuzaliwa hapa ndio aliona the seriousness of the situation. Akaniingiza hoteli na kunishw nile anything nataka.

35 Likes

Kuwa broke is being dry for weeks if not months ata rent huwezani

Hapa nimekuwa Victim…Remember theres a time nlicheza na Landlord hide and seek for two months…Wasn’t hopeful of getting even a single silling…So, one day she got tired of just knocking at the door every single day at 6am and no response {well, its not like i wasn’t there, all i did was lock the door from inside na paddlock then akienda nachomoka kwenda kupiga malap…men ata njaa siskii saa hiyo coz ya masaibu ya two months rent}…She become impatient and tired of my phone storos and that day she carried her own paddlock to lock on top of mine…as she was doing that nko kejani ndani…Weeee…Hesabu that day nliweza after staying indoors the whole day, cant switch on Telly or Radio mtu asiskie sound…usiku kufika i just broke the ceiling, the mabati roof and went to my Ninja kuomba place ya kudoz…Maisa Kweli…

19 Likes

Hio mukarango nimeskia leo.

Well, I have been broke. Very broke to the extent that the green hard tissue became my sanitary pads, 3 slices daily ndio imalize hizo days. Not forgetting the many times I have walked from Inda to kayole chewing on roast maize coz that saves on fare and acts as supper.

Yenyewe ni khaard.

cc @Ghetto Kid

19 Likes

Hata I do not know where to start. I have had my fair share of broke.

Once I walked to Kabete from Jeri to see an auntie at her place of work. Nikafika huko at around lunch hour. Ilibidi nilale kwa lawns like an employee ndo saa nane ifike niingie kwa ofisi yake. When I walked in after the usual pleasantries and even before asking what had brought me over,aliita messenger anipeleke kwa canteen yao nipate food. The hunger was real and visible on my face…it was soo humiliating

12 Likes

This yr has been tough,in a way you adapt…then you get to learn value for money

15 Likes

remember some day nilikua nastay na bro mso Ongwaro and some cousins in Huruma and North, Bro akaenda missing ndiambo na phones were had to come by, day 1 finished unga ya chapo iliyo baki and ate just a meal, the house was now dry, day 2 just took maize worth around 5 bob, day 3, nothing to eat, the only thing that kept me bizzy were 2 landscape paintings I was finishing on to take to an exhibition to Kuona Trust, day 4 exhibition date, nothing in my pocket, nothing in my belly, I walked from Ongwaro area za Kwa Nga nga pali KREP bank used to be (riruta) mpaka town, then from town to M.North via Thika RD since sikua najua chwom and one of my paintings was in North, reaching North wife wa kuzo hana ene na kuzo hayuko nai, we just dry fried the remaining sugar till it got black then added water to it and it was black tea, flash teke teke picked my painting and begun treaking back to town via Thika RD heading to KuonaTrust.
Hehe Kupeleka paintings zikaguliwe, someone just comes and tells me as I wait, Man all this your carrying are substandard, Eish!!!, ku mealt kama theluji ndo iyo, cut short story, some senior guy who worked there encouraged me to take them to the selection team and they were selected, (from that time I decided I was no gona joke with Art again, infact the guy who discoraged me is the one who made me what I am now) From KuonaTrust was to treak back to either Onwaro or M.North with no hope, of even putting something in my belly, meanwhile its around 3days without a proper meal and long distance treaking, to cut it short as I walked past Kijabe street I bounced on my bro on that street akaniokolea 150 and he told me he was coming home hiyo siku, Eish vile niliji nice, ngoja tu…

19 Likes

You have never been broke @imei2012. I repeat,you have never been broke. Mimi nishawahi kuwa Na sponsor huko Dandora…an old granny who once declared…msee Bjur nikiwa hai usikawahi nunua chakula ukiwa hapa sitawahi kosa kukubakishia gatheri.

After Ku tarmac Napata fellow tarmacers wamejiwekelea kwa ka single cage…never mind umetembea hadi City stadium ulimi kavu kavu uchukue 36 before rush ifike…makonda za Buru wakikuuliza Kama unaenda hata huwaoni but unaji promise ukipata wax kitu ya kwanza utafanya Na mshahara ya kwanza Ni kuua hao ma kondaa wa Buru woote kwa kuwadunga sindano Kama Matiba…six najiiba Ili nisipate granny ashajiwekelea. Na gonga gonga mlango ananiwekea gatheri yangu nakapanguza Na kupanguza sahani such that hata hakuna haja aoshe hiyo sahani.

Nachomoka hadi kwa pool kutafuta za fegi Na fare. Hapo nakaa Na chokaa nikihesabiwa wadhii points kwa blackboard hadi 11pm. Napelekea fellow tarmacers ma rooster. Mwenye nyumba SM mbili. Najiwekelea.

High School Na primary school hata usiseme. Tukienda games in the neighbouring school for zonals mbuyu alikuwa anasema my grandma Yuko hapo karibu. Tujiibe masaa ikifika Tu time githeri ikiiva. Wale wanafunzi wengine wakinunua miwa,uji,bofuro Na soda wewe uko hapo Ukim show…si huwa nakuonyesha hesabu…mwingine unamwambia Si unajua sikwadikagi kwa noise makers…wanakataa. Monday juu ya kukasirika unamwandika noise maker times ten hata akiwa absent. Viboko atazipata hata akija next season. Mkipewa homework asubuhi unawaambia hujafanya…wanakula viboko.

19 Likes

always be good friends with mtu wa duka and mama mboga juu mtu hajui ile siku shida hukuja

3 Likes

Watu wamepitia mengi, kindly remember to send the elevator down hata kama uko 1st floor kuna mjamaa ako Basement5 atapanda bado hio gorofa

6 Likes

@colombo mind telling us what became of your art?

2 Likes

:D:D:D:D:D:D
POLENI LAKINI BUT THANKS GUYS…YENYEWE{ THE FIRST STEP IN SOLVING A PROBLEM IS TO TELL SOMEONE ABOUT IT} NASOMA STRUGGLES ZA WASEE NAONA ZANGU ATA NIUFALA SIO SHIDA, MAHNE YOU MAKING MY DAY AND AM FEELING ALIVE AGAIN AND I WILL MAKE IT THROUGH TOO…PIA MI NIPEANE HEKAYA YA "“WHITE FOREST”(UGALI ROYCO+KITUNGUU)

6 Likes