Hasla allows import of eggs, chicken, milk from Uganda

https://pbs.twimg.com/media/FnkEnR4XkAAxrWb?format=jpg&name=small

Museveni and Suluhu would have done the same, only that your citizens produce nothing of value, and export nothing.

Sasa wacha wakulima waanze kulia.

[MEDIA=twitter]650674277340053504[/MEDIA]

Double edged sword.

Uhuru alisaidia wakulima. He had banned importation of eggs, chicken, maize, milk, meat from UG.

[MEDIA=twitter]1433707768666542095[/MEDIA]

wasilie. wajiulize maswali. wakikosa answers, wajaribu biashara different.

Budaa punguza i ass licking it’s too much ata majirani wake gatundu hawa wezi kubali kumnyonya mboro ivi

Hufai kufunga mipaka eti wakulima wachache wakuwe wana exploit wakenya na bei za juu, ilhali io bidhaa iko available Uganda kwa bei ya chini zaidi.

Why don’t you say the same when maize farmers oppose importation of cheap maize forcing wakenya to buy unga at 230 bob while we could get maize from mexico unga ikuwe 70 bob?

When you have an abundance of food, the well established cartels in the food industry lose their power.

And don’t get it twisted, more people will benefit from the abundance than those that will lose out in sales.

Plus food abundance in a country as innovative as Kenya will push the sellers to manufacturing and value addition

Huwa sibadilishi msimamo. Nilisema ile kitu Arror anachukia zaidi ni kuwa blackmailed na watu wake wa nyumbani, wenye wangefaa kuwa wanamsaidia. badala ya kuweka mahindi kwa soko bei ikuje chini waliacha wakenya wateseke.

A crate of eggs was going for 300bob a few months ago. Today, it is retailing at about 450bob.

Open the import doors and the price will come down but the local farmers will be locked out of the business because of high cost of inputs.

How it started and how it is going…2019 vs 2023.

[MEDIA=twitter]1619620514582106112[/MEDIA]

So maize farmers wapewe subsidised fertiliser to cushion them lakini poultry farmers wajaribu biashara ingine? Isokei.

Sina maoni Wadau
Sina maoni kabisaa

It’s comments like this that make me convinced some Kenyans are braindead imbeciles. So you tax your own people to hell and then open your borders for imports? Good lord!

Food security inahusu grains zile important, maize, wheat na rice. izo serikali ikiuzia wakulima fertilizer ya bei kidogo hakuna shida, lakini sio saa zote.
ukulima ile ingine ni hobbies za watu, serikali haiwezi jishughlisha sana na wakulima wa kuku ama nguruwe.
nchi ikiwa imejitosheleza kwa major grains, ni ivo, mambo zengine zitajipanga

wewe unataka mipaka iffungwe badala uongelee taxation? Uganda haina izo taxes za kukandamiza wananchi. Toeni taxes za ufala, na watu wenu watafanya ukulima profitable ata mipaka ikiwa open.

Hii nakubali.Bwana,hatuwezi kuwa tunanunua mayai 600 a crate ati juu we want to support locals

Yes. Because people have to eat affordably. In Kenya, animal feed (maize) competes with human feed (maize) - the Bagandans eat Lutoke and use their maize as chicken feed - so they can produce chicken more cheaply- Inaitwa economics 101.