Hardmean

Turedio @Electronics4u tukutane kwa debe mdau.

[ATTACH=full]456456[/ATTACH]

Usitoroke kabla kupiga kura Mdau.

ungepost iyo tweet umetoa hii mbicha. tunajua si wewe

Good one. How easy was it to obtain hio ya kaburu? I got three. Sky blue, navy blue and a brown one([SIZE=1]ndio natumia saidi[/SIZE])

[MEDIA=twitter]1556548651123605504[/MEDIA]

Hiyo ni siku ya kukata maji kwa Keja nikitegea kuona manupulated results on SK Tallying center

Lol ! But according to the replies it seems he is a great Deputy Governor. Mi ata sijui DG wa Machakos ni nani.

Sijasema ni yangu :oops:

Not yet gotten one, I am targeting the American one.

wewe uko mavoko unafaa kupigia Wavinya Ndeti

Waita

I’m also voting for Waita, lakini competition itakuwa juu

ongea poa nikupeleke kwake utoka na kakiru

Kumbe nyinyi ni watu wa Kissaju mkiwa na @Fryeja by the time mnafika Nai mnanuka vumbi

watu wa huko umetaja wanapigia ole Katoo na Nkedianye na Ole Lenku

Wavinya ako na kura mob.

What will happen to the likes of Kivutha? Ningetaka kuona yeye kwa ministry docket.

Kuna tender ? Mi staki hand out. :smiley:

I have no idea. But it will be a big loss if they let him go home. He still has alot to offer. I was impressed by the new Emali market he has commissioned. Hopefully the incoming governor will continue in his footsteps.

Kipsani si nikifikiria wewe ni mtu wa eldoret uko sugoi ama burnt Forest

Siyui lakini huwesi yua