Halima Mdee....

Tindo

Senior Villager
#21
Acha basi kusifia kituko kabisa acha niachie mbavu zangu mie... Juzi alikuw akwenye maonyesho ya mavazi akavaa vazi lenye suruali alikuwa kama mti umetundikwa khanga na mwenyewe analima.......... poor Tulia ni mbaya kuanzia sura mpk roho na meno yake kama Githeri yamesambaa mdomoni km mahindi ya kuchoma pale Uyole
Bwaaahaaa bwaahaaa, yaani nimecheka mpaka kamasi limenitoka. Nyie ndio mliochangia mitandao kuwekewa sheria kali. Mwenyewe anaamini alipendeza sana ndio maana watu wamechangia hela za vyoo. Hapa ndio nikikosa bundle nakuwa mgonjwa kabisa.
 
#22
Kwanza salamu sana ziwafikie wageni wetu kutoka jf ambao kwa mpaka sasa wameshajua kona na vichochoro vingi vya huu mtaa wa kt. Heshima kwenu natanguliza na naomba msamaha kama lugha au lafudhi hazitalingana sana katika uzi huu.
Naam, katika pitapita zangu za kurasa za habari nimejikuta sana na magazeti au kufwata wanasiasa wa bongo katika mitandao ya jamii. Kusema kweli, nilisifia sana jitihada za anko magu kabla wapambe wateke mada nzima kwa kutafuta kiki. Ila hio ni hadithi ya siku nyingine.
Katika wanasiasa walionivutia zaidi kwa bongo ni HALIMA MDEE, TUNDU LISSU, NAPE NAUYE NA MH.ZITTO KABWE. Hoja zao kuikosoa serikali na kuweka bayana yalio nyuma ya pazia ni mfano mzuri wa jinsi upinzani unavyotakiwa kuweka sawa na kuongelea pindi serikali iliyo mamlakani inapoleta longo longo za kiafrika.
Kabla sijapotelea zaidi kwenye mada iliyonileta hapa, halima mdee wakuu.....Ni mrembo mwenye akili na shujaa. Kila kitu ninacho kiwaza na kutamani kiwe kwa mwanamke. Mheshimiwa akiwa anazungumza akili yangu inafunguka na kuwa makini zaidi alafu mawazo ya kutaka kumjua zaidi kiundani yananijia. Kama atakua anasoma habari hii huku ukimbizini ajue ustaarabu umeniishia na nimetokea kumpenda sana na kumuwaza nje ya maudhui au mantiki anayojulikana nayo ya kisiasa na kutetea jamii.

Mara nyingi japo najua ni mawazo ya kibwege nawaza tukiwa tumekaa nae kwenye mgahawa au pahali faragha tukijadili hoja tofauti tofauti na kuvutiwa na urembo na ucheshi wake. Kwa sasa hivi acha nipambane na hali yangu..kama wasemavyo waungwana....nikitumai ujumbe utamfikia mlengwa.
Ni vizuri kuota
 
#29
nimekua na halima utoto wangu wote,namjua vizur ni mtoto wa prof mdee amezaliwa pale ubungo pale mtaa mmoja kampani yake ilikua ni wanaume tu

nikupe tu taadhari halima ni msagaji toka kitambo xana alishawafanya watoto wa watu wengi tu pale kitaa

hanaga swaga za kike yule
 

Mende

Senior Villager
#31
Naona mada ilianza kwa kumsifia Mrembo. Halima Mdee, sasa imeibukia kwenye kumsifia mrembo Dokta Tulia. Yaani Tulia kampindua Mdee!! Jamani Tulia ni mrembo jamani, acheni tu. na hasa akitabasamu weee! utachekea chooni mweee!!! mwenzenu halafu kaolewa, mke wa mtu eeheee, yupo pale Akson asije akaua mtu. ni angalisho tu wakuu.
 

Nyanidume

Senior Villager
#34
mmmh yule sasa hivi hawezi maana anadhani dunia yote yake................. nakwambia sikudanganyi nenda kaangalie utaona mwenyewe nikajiuliza mavazi yote alishindea hata kushona basi maksi tujue moja thou hatajulikana mbela wala nyuma lakini lingekuwa afadhali tuu sio kwa kituko kile cha suruali na gauni... Niacheni niko huku gikombaa natafuta raba na simple shoe jioni narudii zangu namanga
Hahahahahh nami nifanyie mpango wa viatu vya matairi ya gari hapo umasaini.
 

Gidheli

Village Elder
#36
Acha basi kusifia kituko kabisa acha niachie mbavu zangu mie... Juzi alikuw akwenye maonyesho ya mavazi akavaa vazi lenye suruali alikuwa kama mti umetundikwa khanga na mwenyewe analima.......... poor Tulia ni mbaya kuanzia sura mpk roho na meno yake kama Githeri yamesambaa mdomoni km mahindi ya kuchoma pale Uyole
Hahahaha Mkuu umetisha
 

Top