Hakika weusi ni Uzuri

Black is beauty!
[ATTACH=full]178429[/ATTACH]

Aisee!.. :eek::eek::eek:

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw

Wasenagalese weusi sana aisee

:eek::eek:like Sudan

Sudan means black

Hao wapoland wabaguzi sana wa rangi muwe makini na picha wanazotupia.Watakuwa wanafanya Photoshop.Kwanza pamoja na weupe wao wamefungwa na Senegal!

Kivyovyote itakavyokua black is beauty regardless any wrong intentions from malice thinkers.

Lengo lao ni kudhalilisha uafrika na sisi waafrika tunafuata mkumbo.Kumbuka hizo nchi za ulaya mashariki zina ubaguzi sana wa rangi.Waafrika wanaocheza mpira huko wanalijua hilo,Mara kutupiwa ganda la ndizi wakifananishwa na nyani!

Ubaguzi si jambo la kikundi bali ni jambo la mtu mmoja mmoja hasa kwa wale wenye nia mbaya. Nimewahi kuwasikia Waafrika weusi wakiwazomea wachezaji weusi kwenye mabanda ya kuonesha mipira hasa pale wanapokua wapinzani timu zao ilhali na wao wakiwa weusi.

Fikiria juu ya kisa cha Dan Alves aliporushiwa ndizi wakati anapiga kona achichofanya nikuiokota ndizi na kuila.

Being a black is not an insult ruther is a good and real depiction from our Almighty God.

Sawa lakini ndio tuache kushabikia kila kitu !

interesting!

Kwa sisi wasukuma tunapenda weupe sana

Mimi nilipoiona hiyo picha sikupata wazo lolote la ubaguzi kwani huwa naamini katika ubora wa hali ya juu ya muumba hivyo sifikiri kama watu wanaojaribu kuingia kwenye vita ya kibaguzi. Kwani ukishutumu jambo la mtu kwa kutaja jambo la rangi kwa uhasi nawe ni mbaguzi kama aliyekubagua, na jambo hilo si lakufurahisha na halikubaliki.

Mbona huyo ni mweupe sana, umeuona Salva Kiir?

:D:D

Jamaa kama kapaka Oil chafu

Meusi wakung’aa ndiyo weusi asilia, uncontaminated black colour.

Tena uzuri wake umezidi nishani za shaba, uimara usiokifani, machoni wapendeza kuutazama, kamwe hauchoshi macho

Tena uzuri ambao tunajulikana rangi yetu kwamba ni nyeusi, tofauti na hao mnaowaita weupe. Hebu angalia jezi yake mpoland alafu fananisha na rangi yake utaona utofauti wa nyeupe na rangi zao.