Goddamn

Mnatoa wapi pesa buana?? Na simaanishi peanuts, like money money.

Hii wiki nimeona like 30 G-Wagons and 2022 Range Rovers banae. Ni kama kuna mahali watu wanavuna.

1 Like

Si wewe ndiyo mwenye theory za making 1 billion by age 35 si utuambie basi.

Kuna levels banae. Hii sio level ya kuendesha jalopy ya a few mil. Hizi ni tens of millions banae.

For perspective, even with 100M it still doesn’t make sense to buy a G-Wagon ama 2022 Range Rover in +254. You are still not rich enough unless you are an idiot who will blow a large portion of his money on a vehicle.

Tushasema hii ni doh ya corruption wash wash and chieth. County yetu sponyo ameweka dame yake kwa plum position na d ya form 4 na mental issues…yeh huchizi kiplani time zake and to make matters worse dem ni mulevi saa imagine akichizi ka ako tei…jamaa mwingine mtoi wake amemaliza campo but graduation bado ukajua ana cheo gani huwezi amini…vitu za experience kando.

Kenya is one unfair society.

Najuwa mta sema ni hating lakini kama huna factory tunajuwa , huchezi premier league, ww sio techie billionare, hauku kafunga early in crypto hio pesa niya wizi .

agreed
Most of these emerging, flashy centi-millionaires and billionaires are simply thieves
Stealing gvt resources, kickbacks and bribery, fraudulent tenders, high-level scams, etc

Nikiona Rolls Royce Phantom Kenya kabla ninunue yangu ndio nitajua mko na pesa. Athawise, katambe.

Kenya iligawanwa kitambo sana…we wait for our chances…Otherwise endelea kuwapiga picha

Ile wizi iko Kenya hii Wacha tu.

Tenders za county government…anyway Kenya Kuna wizi and Wash wash…pia you can sell you soul or mcooosh ukizitaka sana… .
Lakini Kenya tumezoeshwa corruption juu I have studied with people in highschool wenye walionyeshwa KCPE yote na tukiwa form 4 walikuwa na the real KNEC exam as early as January… anyway juzi nilipatana nao wakiwork pale standard chartered bank after wamegraduate na degree ya university…lakini @Azor Ahai shida Yako ni moja pliz stop comparing yourself with others for it is written Psalms 127:2 It is useless to work so hard for a living, getting up early and going to bed late. For the LORD provides for the one he loves while they are still sleeping

Damn.

There parents worked hard to make sure they pay that school fees to ENSURE they get leakage and pass.
I would rather pay all my daughters get leakage and pass, even hire a teacher to ensure She gets the leakage correct

So kama mungu hakupendi usijisumbue?? Plus ni criteria gani inatumika hapo kupendwa??

Hii bible iko na ushenzi sana.

Tafuta nabii

B-club walikuwanga nayo pamoja na lamborghini ya green hapo Kilimani. Both were the real deal sio kit cars.

2022 model Phantom?

Very subjective. Even with 50m I can buy that G63 which would cost 19m because I am petrol head and my number one love in this world is cars. Reliable and they do not lose value. Ata c63 na the same engine kuna ingine niliona inaenda na 8m. Hapo kwa Range Rover 2022 ndio gari ya real billionaires kwasababu value yake itakatika by half in 5 years.

https://pbs.twimg.com/media/FnTTQ37X0AAOwj6?format=jpg&name=small

One of the older models… that guy paid like 1/10th of the original price I’m sure coz those things depreciate like rocks.

Nice. A bespoke one is worth the millions.