George Natembea

Rift Valley Regional Commissioner George Natembeya has declared his interest in the Trans Nzoia gubernatorial seat in 2022, ending months of speculation.

Well well well. Naona akililia kwa les toilettes.

Not really…I know kitale politics… not really. People are warming up to him

Hapo sawa kabisa. Na support campaign yake 100% tukule hizo tender. Family friend na jirani huko ktl. Kama Khaemba alirudishwa … he will likely get it. Hakuna strong opposition.

huko people dont vote with emotions like in central. anaweza pita

Ted Malanda…you just made my head spin

Atawezana na kijana ya FORD, wamalwa Chris?

Ghasieer

Yaani chief rustler ni rafiki ya senior gvt official fighting bandits, okeeeey

Not me personally … but our families.

So anajua vile mmafanya pale Olmoran na anajifanya kuwafukuza? kumbe ?

Hiyo nugu inaweza kuwa problematic. Lakini naona wakimpa. Wacha nitaenda ground Dec niskie vile kuko.

Wewe ni kitale kutoka wapi

Burukenge … wacha kuspoil CV ya mzito. His just an administrator. Uliza CS na IG maneno ya security.

Nimekuonea 18 … lakini saboti.

Am just saying. If he is your family friend and he knows you are rustling in Olmoran doesn’t that make him an accomplice? A traitor?

Area is enough … kama location

Saboti … kuna shamba but I don’t reside there.

Mimi pia … hapo area ya bidii area. Fell in love with the place when I lived with my sister years ago early 90s. Had to come back 20 years later to buy property. Really love the place.

Acre wanauliza aje?

Chris alianza campaigns kitambo sana. Naskia he has been to every church harambee, burrials etc