FURSA ZA BIASHARA

  1. Kununua Mashine za kukoroga
    zege na kukodisha.
  2. Kununua Mashine za kukata
    vyuma na kuzikodisha.
  3. Kutengeneza na kuuza tofali
  4. Ufundi, Website updating/
    Database: Katika Halmashauri,
    Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
    na Makampuni mbalimbali.
  5. Kuanzisha kituo cha redio na
    televisheni
  6. Kufunga na kutengeneza vifaa
    mbalimbali vya electroniki na
    mawasiliano mfano; compyuta na
    vifaa vya compyuta na
    mawasiliano.
  7. Kuuza software; mfano Antivirus,
    Operating Systems, Pastel, Tally,
    Myob, n.k
  8. Kushona na kuuza nguo.
  9. Kufungua Duka la kuuza nguo
    mpya; suit, socks, batiki, nguo za
    asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
  10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali
    mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe,
    Kuku, Bata, na wengine.
  11. Kufungua stationery, kuuza
    (supply) vitabu na vifaa mbalimbali
    ktk mashule na vyuo.
  12. Kutoa ushauri mbalimbali wa
    Kitaalamu.
  13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo,
    kutengeneza popcorn na kuziuza.
  14. Kusajili namba za simu na
    kuuza vocha
  15. Kuwa na mradi wa Pikipiki
    zisizotumia mafuta na zinazotumia
    mafuta
  16. Kilimo cha mazao mbalimbali
    kulingana na hali ya hewa ya
    sehemu husika.
  17. Kuuza Mitumba
  18. Kusimamia miradi mbalimbali
  19. Kufungua duka la kuuza
    mitambo mbalimbali
  20. Kufungua banda la chakula na
    chips
  21. Kukodisha turubai viti na meza
  22. Kufungua Supermarket
  23. Kufungua Saluni
  24. Kufungua Bucha
  25. Video Shooting & Editing.
  26. Kufungua Internet cafe
  27. Duka la kuuza matunda
  28. Kufungua duka la kuuza vifaa
    vya simu za mkononi na landline.
  29. Kufungua duka la vifaa vya
    ujenzi; cement, vifaa vya umeme,
    duka la mabati
  30. Kutengeneza michoro
    mbalimbali ya majumba na miradi
    ya ICT
  31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
  32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi
    (Building contractor)
  33. Kuuza Vifaa vya umeme wa
    nishati ya jua (solar) ,battery,
    inverter na vifaa vingine vya solar
    n.k
  34. Kuuza maji kwa jumla na
    rejaleja.
  35. Kutengeneza na kuuza Unga wa
    lishe bora.
  36. Kukodisha Music
  37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
  38. Kuanzisha mradi wa Daladala
  39. Kuuza vifaa vya Kompyuta,
    laptops, converters, HDDs, Monitors,
    Softwares, CD Copiers na vifaa
    vingine.
  40. Kununua magenerator na
    kukodisha
  41. Kufungua kampuni ya kutoa
    huduma za simu
  42. Kufungua kampuni ya kutoa
    huduma za internet (ISP)
  43. Kuuza mabati na vigae
  44. Kujenga apartments
  45. Kufungua Kisima cha mafuta ya
    taa au mafuta ya aina zote
  46. Kufungua Duka la samaki
  47. Kufungua Duka la nafaka
  48. Kufungua Shule za Awali, Shule
    za Msingi, Sekondari na Vyuo.
  49. Kujenga hostel
  50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya
    DStv, Zuku, Startimes, Easy TV,
    TNG, Digitech, Continental.
  51. Kujenga mtambo wa kuzalisha
    umeme na kuuza katika viwanda na
    wananchi.
  52. Ufundi simu
  53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
  54. Maabara ya Macho, Meno
  55. Kuchimba/Kuuza Madini
  56. Kufungua ofisi ya kutoa huduma
    ya simu na fax
  57. Kuuza miti na mbao
  58. Kufungua Grocery, bar
  59. Kufungua studio ya kupiga na
    kusafisha picha
  60. Kucharge simu/battery
  61. Duka la TV na vifaa vingine
  62. Kuanzisha biashara ya kuuza
    vyakula katika sherehe na tamasha
    mbalimbali (catering).
  63. Banda la kupigisha simu
  64. Kuuza na kushona Uniform za
    shule
  65. Kuanzisha duka la kuuza vitu
    kwa jumla.
  66. Kufungua gereji za kutengeneza
    bajaji, pikipiki na magari
  67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake,
    jembe
  68. Kuuza fanicha
  69. Kufungua sehemu ya kuziba
    pancha za matairi
    ya magari na mitambo.
  70. Kujenga nyumba za kulala
    wageni (hotel)
  71. Kuagiza na kuuza vifaa vya
    aluminium.
  72. Kuuza vioo
  73. Kushona na kukodisha nguo za
    harusi
  74. Kufungua yard kwa ajili ya
    kuosha magari
  75. Kuuza mashine za kuchomelea
    (welding machine).
  76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site
    (boots, helmets etc)
  77. Kununua mabasi kwa ajili ya
    kusafirisha wanafunzi
  78. Kufungua studio ya kutengeneza
    vipindi vya redio na televisheni
  79. Kuanzisha ofisi ya michezo ya
    televisheni (TV Games)
  80. Kufungua benki
  81. Kuwa na malori ya kubeba
    kokoto na mchanga
  82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV
    Camera, n.k
  83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
  84. Kuanzisha mradi wa kukodisha
    fork lift na winchi (crane)
  85. Kuanzisha kiwanda cha
    kutengeneza viatu.
  86. Kuanzisha viwanda mbalimbali
  87. Duka la vifaa vya simu na
    gadgets mbalimbali zinazoendana
    na mawasiliano ya Vodacom, TTCL,
    AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
  88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha
    kwa sherehe, mikutano mbalimbali
  89. Kununua matrekta, mitambo ya
    ujenzi wa barabara na kukodisha
  90. Kutengeneza antenna na kuuza
  91. Kufungua mradi wa Machine za
    kusafisha, kutoboa na kuchana
    mbao
  92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa
    vya Umeme wa kutumia upepo
  93. Biashara ya kuagiza magari
  94. Kufanya biashara za Jukebox
  95. Kukodisha matenki ya maji
  96. Kufungua duka la kuuza Asali
  97. Kutengeneza Mikokoteni/
    matoroli na kuikodisha
  98. Kufungua Duka la vinyago,
    batiki
  99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL
    MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY
    PESA
  100. Kuanzisha sehemu ya kufanyia
    mazoezi (Gym).
  101. Kununua na kuuza vifaa vya
    kupima ardhi.
  102. Kufungua duka la kuuza dawa
    (pharmacy).
  103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
  104. Kufungua kampuni ya
    “Clearing and fowarding”
  105. Kuchezesha vikaragosi
  106. Kuuza spea za bajaji, magari
    na pikipiki
  107. Kuuza baiskeli
  108. Kuuza magodoro
  109. Kuuza vyombo mbalimbali
    kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
    mfano bakuli, sahani, vikombe,
    vijiko,
  110. Kuuza marumaru (limestones)
  111. Kuuza kokoto
  112. Kuuza mchanga
  113. Kufundisha Tuisheni
  114. Biashara za bima
  115. Kampuni ya kusafirisha abiria
    kwa njia ya anga (ndege)
  116. Biashara za kitalii
  117. Biashara za meli na maboti.
  118. Kampuni ya kuchimba visima
  119. Kufungua ofisi ya wakili/
    mawakili wa kujitegemea
  120. Kuuza mkaa
  121. Kutengeneza mashine za
    kutengeneza tofali
  122. Kampuni ya kupima ardhi
  123. Kampuni ya magazeti
  124. Kuchapa (printing) magazeti
  125. Kuuza magazeti
  126. Kuchimba mafuta
  127. Kiwanda cha kutengeneza
    mabati
  128. Kiwanda cha kutengeneza
    fanicha
  129. Kiwanda cha kutengeneza
    matairi
  130. Kutengeneza vitanda vya
    chuma
  131. Kununua nyumba katika
    Maghorofa (Apartments) na
    kuzikodisha.
  132. Kukodisha makapeti
  133. Kupamba maharusi na kumbi
    za harusi/sherehe.
  134. Mashine ya kusaga na
    kukoboa nafaka.
  135. Kazi ya ususi na kusafisha
    kucha.
  136. Kuuza Gypsum
  137. Malori ya kubeba mafuta na
    Mizigo
  138. Duka la kuuza mboga za
    majani
  139. Duka la kuuza maua.
  140. Kampuni ya kuzoa takataka
  141. Kampuni ya kuuza magari
  142. Kuuza viwanja
  143. Uvuvi
  144. Kutengeneza na kuuza nguzo
    za kujengea fensi
  145. Uchoraji wa mabango.
  146. Duka la kuuza silaha
  147. Ukumbi wa kuonesha mpira
  148. Biashara ya mlm (network
    marketing)
  149. Yadi kwa ajili ya kupaki magari
  150. Mradi wa trekta za kukodisha.

Changamkia fursa

big up

hiyo namba 10 na 16 nitajikita hko baada ya miaka 2 ijayo

Shukrani kwa fursa

hapa mtaji tatizo dah

Kama izi family zetu zingekuwa na maono ya maswala ya fedha tungekuwa mbali sana. Tatizo lipo ni kwamba families nyingi Africa they know nothing about money and investment. Sisi tunachojua ni kuzaa kwa ajili ya sifa na kusaidiwa na watoto.

Mwenyeuzi wakule jf hatimae kajaaaa, nzur i hiyo mkuu umetukumbusha fursa ambazo twapasa kutembea nazo

Dah nashukuru mkuu, I’ll thank you later

Ubarikiwe tosha