- Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha. - Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha. - Kutengeneza na kuuza tofali
- Ufundi, Website updating/
Database: Katika Halmashauri,
Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
na Makampuni mbalimbali. - Kuanzisha kituo cha redio na
televisheni - Kufunga na kutengeneza vifaa
mbalimbali vya electroniki na
mawasiliano mfano; compyuta na
vifaa vya compyuta na
mawasiliano. - Kuuza software; mfano Antivirus,
Operating Systems, Pastel, Tally,
Myob, n.k - Kushona na kuuza nguo.
- Kufungua Duka la kuuza nguo
mpya; suit, socks, batiki, nguo za
asili, Mashuka, Mashati, Suruali, - Ufugaji wa mifugo mbalimbali
mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe,
Kuku, Bata, na wengine. - Kufungua stationery, kuuza
(supply) vitabu na vifaa mbalimbali
ktk mashule na vyuo. - Kutoa ushauri mbalimbali wa
Kitaalamu. - Kuuza viazi, mahindi, mihogo,
kutengeneza popcorn na kuziuza. - Kusajili namba za simu na
kuuza vocha - Kuwa na mradi wa Pikipiki
zisizotumia mafuta na zinazotumia
mafuta - Kilimo cha mazao mbalimbali
kulingana na hali ya hewa ya
sehemu husika. - Kuuza Mitumba
- Kusimamia miradi mbalimbali
- Kufungua duka la kuuza
mitambo mbalimbali - Kufungua banda la chakula na
chips - Kukodisha turubai viti na meza
- Kufungua Supermarket
- Kufungua Saluni
- Kufungua Bucha
- Video Shooting & Editing.
- Kufungua Internet cafe
- Duka la kuuza matunda
- Kufungua duka la kuuza vifaa
vya simu za mkononi na landline. - Kufungua duka la vifaa vya
ujenzi; cement, vifaa vya umeme,
duka la mabati - Kutengeneza michoro
mbalimbali ya majumba na miradi
ya ICT - Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
- Kuanzisha kampuni ya ujenzi
(Building contractor) - Kuuza Vifaa vya umeme wa
nishati ya jua (solar) ,battery,
inverter na vifaa vingine vya solar
n.k - Kuuza maji kwa jumla na
rejaleja. - Kutengeneza na kuuza Unga wa
lishe bora. - Kukodisha Music
- Kuanzisha Mradi wa Taxi
- Kuanzisha mradi wa Daladala
- Kuuza vifaa vya Kompyuta,
laptops, converters, HDDs, Monitors,
Softwares, CD Copiers na vifaa
vingine. - Kununua magenerator na
kukodisha - Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za simu - Kufungua kampuni ya kutoa
huduma za internet (ISP) - Kuuza mabati na vigae
- Kujenga apartments
- Kufungua Kisima cha mafuta ya
taa au mafuta ya aina zote - Kufungua Duka la samaki
- Kufungua Duka la nafaka
- Kufungua Shule za Awali, Shule
za Msingi, Sekondari na Vyuo. - Kujenga hostel
- Kuuza vocha na ving’amuzi vya
DStv, Zuku, Startimes, Easy TV,
TNG, Digitech, Continental. - Kujenga mtambo wa kuzalisha
umeme na kuuza katika viwanda na
wananchi. - Ufundi simu
- Kufungua Hospitali, Zahanati.
- Maabara ya Macho, Meno
- Kuchimba/Kuuza Madini
- Kufungua ofisi ya kutoa huduma
ya simu na fax - Kuuza miti na mbao
- Kufungua Grocery, bar
- Kufungua studio ya kupiga na
kusafisha picha - Kucharge simu/battery
- Duka la TV na vifaa vingine
- Kuanzisha biashara ya kuuza
vyakula katika sherehe na tamasha
mbalimbali (catering). - Banda la kupigisha simu
- Kuuza na kushona Uniform za
shule - Kuanzisha duka la kuuza vitu
kwa jumla. - Kufungua gereji za kutengeneza
bajaji, pikipiki na magari - Kuuza vyuma, pembejeo, rake,
jembe - Kuuza fanicha
- Kufungua sehemu ya kuziba
pancha za matairi
ya magari na mitambo. - Kujenga nyumba za kulala
wageni (hotel) - Kuagiza na kuuza vifaa vya
aluminium. - Kuuza vioo
- Kushona na kukodisha nguo za
harusi - Kufungua yard kwa ajili ya
kuosha magari - Kuuza mashine za kuchomelea
(welding machine). - Kuuza vifaa vya kuvaa Site
(boots, helmets etc) - Kununua mabasi kwa ajili ya
kusafirisha wanafunzi - Kufungua studio ya kutengeneza
vipindi vya redio na televisheni - Kuanzisha ofisi ya michezo ya
televisheni (TV Games) - Kufungua benki
- Kuwa na malori ya kubeba
kokoto na mchanga - Kuuza vifaa mfano TV, CCTV
Camera, n.k - Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
- Kuanzisha mradi wa kukodisha
fork lift na winchi (crane) - Kuanzisha kiwanda cha
kutengeneza viatu. - Kuanzisha viwanda mbalimbali
- Duka la vifaa vya simu na
gadgets mbalimbali zinazoendana
na mawasiliano ya Vodacom, TTCL,
AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k. - Kujenga Ukumbi wa kukodisha
kwa sherehe, mikutano mbalimbali - Kununua matrekta, mitambo ya
ujenzi wa barabara na kukodisha - Kutengeneza antenna na kuuza
- Kufungua mradi wa Machine za
kusafisha, kutoboa na kuchana
mbao - Kufungua mradi wa kuuza vifaa
vya Umeme wa kutumia upepo - Biashara ya kuagiza magari
- Kufanya biashara za Jukebox
- Kukodisha matenki ya maji
- Kufungua duka la kuuza Asali
- Kutengeneza Mikokoteni/
matoroli na kuikodisha - Kufungua Duka la vinyago,
batiki - Kuanzisha huduma ya AIRTEL
MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY
PESA - Kuanzisha sehemu ya kufanyia
mazoezi (Gym). - Kununua na kuuza vifaa vya
kupima ardhi. - Kufungua duka la kuuza dawa
(pharmacy). - Kufungua Kampuni ya Ulinzi
- Kufungua kampuni ya
“Clearing and fowarding” - Kuchezesha vikaragosi
- Kuuza spea za bajaji, magari
na pikipiki - Kuuza baiskeli
- Kuuza magodoro
- Kuuza vyombo mbalimbali
kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
mfano bakuli, sahani, vikombe,
vijiko, - Kuuza marumaru (limestones)
- Kuuza kokoto
- Kuuza mchanga
- Kufundisha Tuisheni
- Biashara za bima
- Kampuni ya kusafirisha abiria
kwa njia ya anga (ndege) - Biashara za kitalii
- Biashara za meli na maboti.
- Kampuni ya kuchimba visima
- Kufungua ofisi ya wakili/
mawakili wa kujitegemea - Kuuza mkaa
- Kutengeneza mashine za
kutengeneza tofali - Kampuni ya kupima ardhi
- Kampuni ya magazeti
- Kuchapa (printing) magazeti
- Kuuza magazeti
- Kuchimba mafuta
- Kiwanda cha kutengeneza
mabati - Kiwanda cha kutengeneza
fanicha - Kiwanda cha kutengeneza
matairi - Kutengeneza vitanda vya
chuma - Kununua nyumba katika
Maghorofa (Apartments) na
kuzikodisha. - Kukodisha makapeti
- Kupamba maharusi na kumbi
za harusi/sherehe. - Mashine ya kusaga na
kukoboa nafaka. - Kazi ya ususi na kusafisha
kucha. - Kuuza Gypsum
- Malori ya kubeba mafuta na
Mizigo - Duka la kuuza mboga za
majani - Duka la kuuza maua.
- Kampuni ya kuzoa takataka
- Kampuni ya kuuza magari
- Kuuza viwanja
- Uvuvi
- Kutengeneza na kuuza nguzo
za kujengea fensi - Uchoraji wa mabango.
- Duka la kuuza silaha
- Ukumbi wa kuonesha mpira
- Biashara ya mlm (network
marketing) - Yadi kwa ajili ya kupaki magari
- Mradi wa trekta za kukodisha.
Changamkia fursa