Fundi, foreman ....etc mtu anawatoa wapi

MERIA MATE

Village Elder
#27
Some help needed....
For thoae who have gone through this process
Mtu anatoa wapi fundi and foremen...and how do you protect yourself from being exploited
Ama fundi kukuambia yeye ni foreman
Mm kitu naeza kuku advise...tembea kwa ongoing site hapo io area yako chukua namba za fundi wanajenga kama watatu,that is after umewasoma kama siku tatu venye wanajenga....ngoja wamalize io kazi...ukingoja enda mwaga materials kwa site yako...wakimaliza pigia wale fundi na utafute kama watu wa mkono kama watatu pia mskizane rates per day....apa utasave sana than ku engage contractor....
Alafu either way make sure uko around mjengo ikiendelea.
Contractors humake crazy money for doing nothing.
 
Top