friday ulevi jack daniels

[ATTACH=full]400583[/ATTACH][ATTACH=full]400584[/ATTACH][ATTACH=full]400585[/ATTACH][ATTACH=full]400586[/ATTACH][ATTACH=full]400587[/ATTACH]

Niaje waiter wa whiskey river

Hio pesa si ungebuy tu carpet

huflow na blues

https://www.youtube.com/watch?v=1eNSWZ4x2ZU

Hii nimekubali.
Toa seal na uweke mvinyo mezani sasa.

@sludgist @Sokwe mtu weka kinywaji yako

Niko kwa traffic naLand hapo njogu~ini kwanza nikuwekelee kibare muoto na kahasho unyambe moshi…
mbwakni ii

[ATTACH=full]400591[/ATTACH][ATTACH=full]400592[/ATTACH]

mbona umeweka kwa floor? hauna meza?

Swafi elder

Leo umewacha loaf wapi ?

At least you threw away the plastic cups:D

Enjoy your weekend in style.

Tafuta mrembo umwagie hiyo joto ya JD

ita dem aweke pombe kwa thighs upige picha

Nunua kitanda uwache kulala chini.

Iyo investment yote na hakuna kitu ya kufinya, ingekua poa ukiwa na full package

watu wa maji ya ndimu tunaketi wapi?

Tafuta hii ya Kshs.200,000 kwanza.[ATTACH=full]400615[/ATTACH]

Hahaha huwezi fanya blunder ulifanya last time. Kupiga picha ya mzinga kwa kameza kwa bed shitter. Round hii umeamua huonyeshi anything else in the house. Kwani hakuna lanye mnakata maji naye?