Farmers ask: Where is the subsidized fertilizer?

[MEDIA=twitter]1622827541043064833[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1622747408936366080[/MEDIA]

Iko kwa Depot za NCPB near you ,yangu nachukua hii Thursday

Macartels wameificha

Ziko Tena Kwa wingi Kwa ncpb stores, going for my 80bags kesho, I also got za Oct last year

Nimechukua zangu leo.

Weka effidens.

Sijui ni mimi tu but sasa fertiliser tunaletewa kwa wingi na miti ndizo hizo mnakata kwa wingi hampandi…mtaweka mbolea kwa shamba halafu mvua ipige chenga tutaona watu watavuna nini.

Lets plant trees bana…si hii ujinga hata watu wa kenya forest pia wanasafirisha makaa hao wenyewe…what a fucked up country.

Interestingly uhuru was giving farmers subsidised fertiliser at 800 bob but JSKS is giving at 3,500. And tugeges think that 3.5k is a better deal than ohurus 800 bob.

“Uhuru gives nod to Sh4.1 fertiliser subsidy” https://www.standardmedia.co.ke/amp/counties/article/2001317929/uhuru-gives-nod-to-sh41-fertiliser-subsidy

[ATTACH=full]494683[/ATTACH][ATTACH=full]494684[/ATTACH]
First batch arrived on 31st jan. Nabii amefanya kazi bwana.

Ktalk evidence means uweke picha ya fertiliser bag with your name tag and gazeti ya Leo umewekelea hapo juu not downloading old photos kwa hindernet. Anything else is hot air.

And FYI it’s a big insult to give kikuyus a fertiliser called kyno coz the word means women genitalia.

Ziko store.
I can’t inconvenience my night guards & farm manager at this unholy hour. I’ll pick another lot on Thursday in a different county. Nitaweka evidence hapa.

Meanwhile, the 1st batch of 4 million bags for planting are packaged by ETG company. Zote ziko na hiyo rangi.

Which fertiliser is that of 800/=?

Iko kwa hio link.

It’s a lie. No single farmer saw it at that price

The cheapest was 1800/= in 2021 after gov’t waved 40%. Less than 10% of farmers ndio walifanikiwa.