a woman can eat all the money a man has,but a man can not eat all the money a woman has.okey najaribu kusema ivi,pesa ya mwanaume inaweza liwa ikaisha lakini ya mwanamke haiwezi ikaisha.huu ni msemo tu.meanwhile sato nilienda gikombaa kununua viatu pywa za kutaftia job nairobi,baada ya apo nikapita muthurwa nikakula chakula chafu apo kkwa izo vibandaski za mama pima.nikigonjeka nitapigia uncle uwesmake anikamie mnipeleke hosi.ni hayo tu kwa sasa.