Faiba has the cheapest internet in vumbistan.

[ATTACH=full]470115[/ATTACH][ATTACH=full]470116[/ATTACH]

As a heavy internet user, these mobile internet packages are way too expensive.

That said, internet in kenya is too expensive. I followed comments from this thread from SA. You can convert the rands to ksh…uone tunagongwa sana. 200MBps speed is about 8k, na huku safcom wanakupatia 100MBps na 12500
[MEDIA=twitter]1574992880522780672[/MEDIA]

bundles are for peasants… unlimited is the way to go

Coverage yao ndio mbovu.

True.
Past Ruiru, the signal goes off.
Past Limuru signal iko off
Past Syokimau hakuna signal
Past Karen…

2k napata 90GB airtel

2k ni 30 gb

[ATTACH=full]470153[/ATTACH]

Still kidogo for we heavy hitters. MTU ataleta unlimited mobile atakuwa amekafunga kabisa.

Telkom used to have it wakati ilikuwa inaitwa Orange. You paid 4k a month ama 50bob daily unapata unlimited internet. Ubaya ni ati ukipitisha bandwidth flani, wananyonga internet speeds sawa sawa.

Telkom ni madoggy. Network yao Siku hizi hata kupiga simu ni balaa. Some fixed line I use in the house is now garbage while their router inaokota vumbi.

I hate to say it but Saf is king kwa network. Juzi juzi tu nilienda ocha na ilikuwa inashika 4G. 2 years ago, hata 3G ilikuwa shida. Saf has really worked on their infrastructure.

tafuta unlimited kimilili

niko na zuku fiber…

zuku fibre iko kimilili?

siko huko… no idea. 2799 na ni stable…

This is why 99% of my usage is on faiba except when travelling then I switch to safcom

nairobi ndio kuna mafibre
kimilili ni kuvumilia 3g

Airtel bazu 90Gb for 2K tosha

Hapo sasa babaaa