FACTS ZA KITABIBU

JE wajua kuwa ukioga walau mara 2 kwa siku,ukiepuka pombe,ukiepuka sigara,ukienda gym kila siku,ukilala masaa ya kutosha,ukila matunda kila baada ya mlo,ukiepukana na msongo wa mawazo,ukiacha aina zote za madawa ya kulevya ikiwemo caffeine inayopatikana katika chai na kahawa bado utaishia KUFA tu huko mbeleni.
HAKUNA NAMNA*

Ila kabla ya kufa maisha yako yatakuwa na afya tele,huo ndio ukweli,ila hapo kwenye list yako umesahau kuweka ibada yaani kuishi kwa kumcha Mungu…

Watu hawaogopi kufa… wanaogopa kutangulia…

Cc: @Mahondaw

Haaaahaaaa

Sawa

Duh

Hakuna namna