Explain to me like am Five.

Okay, niko na dish ile kubwa ya Dstv plus hii fta decoder. I need to watch football matches nitaanzia wapi.
@Meria Mata @Giggz
[ATTACH=full]405643[/ATTACH]

Uza dish…lolTV…ata Nimetoa details…kama una internet bundles…next itakuwa… lipa free loading washenz hakuna anapenda

It says fta.
Epl is not fta.
Mtaka cha mvunguni starting ainame.
Unatoa ngapi bro?

Kata izo kucha

Kama kuna kitu inaeza nitoa gear ni mwanaume na kucha over a millimeter long,worse,zikue na kauchafu.Kama huwezi jichunga… I dont trust such people

Kwani wewe mweusi hadi Kwa palm

Hio dish ni ndogo, uko wapi hii jamhuri ?

Hio dish ndongo sana

Kubwa ya DS si ni 90cm na ni mtoto. Anyway, for football you have to pay…

Mwelekeo ni internet.