Euro 2020 kicks off today.

22:00 turkey - Italy
Uwesmake nani anuwa nyoka.
[ATTACH=full]369023[/ATTACH]

France obviously.

England will take it wadau.

Mhindy asahau pesa ya gambling.
20% tax reintroduced for wagers

Wakiwacha vardy awatafika mbali

Fafanua

Ukuru Yatani buana. Budget.

ile tax ya stake @ 20% reintroduced kwa budget na gathica

We are finished.

Mimi sigwes wekelea na io upusu.
ukiStake elfu kwa game mbili, mia mbili inaenda kabla games zianze…tuseme izo games ziko na odd ya 2.0, 2800=1600 possible win, less 20% again: 0.21600= 320 gone.
unapata 1280 ukitoa ya safcom ya kutoa na kuweka 80 inaenda unabaki na 1200.

unaweza aje stake/risk 1000 upate faida ya rwabe:D

But haijaanza Kua implemented ni proposal Tu

kwani kuna ceremony imebakia si ni ku-gazette tu:D pamoja na izo ujinga zingine ziko kwa budget

In tz suluhu reduced taxes.
[MEDIA=twitter]1403019799215673352[/MEDIA]

How old are u? 10?

Actually 5

Mzee , uko karibu 60 na hujui ata how budget works?

hii euros ingekua na official thread where we’ll comment on em games for the next month.

game ya leo ni italia inafaa ipige duster na the young turkish team…

@Sokwe mtu pea italy win & under 2.5 easy money…odd ya 3
[ATTACH=full]369146[/ATTACH]

You are welcomed at 1xbet

huko tax haija anza?