Eti Ronaldo ni bora kuliko Messi kisa hajafunga una akili wewe?

Tafakari kabla hujatoa hoja zako za kijinga.
[ATTACH=full]179434[/ATTACH][ATTACH=full]179434[/ATTACH]

kwa mtazamo wangu naamini huu mjadala umeuharibu kwa kutumia kigezo cha picha kuwalinganisha magwiji hawa wawili wanaoendelea kuwasumbua mabeki waliopo kwenye karne hii ya 21.
inshaalah nitakuja kuwahadithia watoto wangu mazuri ya hawa wanadamu wawili.
kuwaangalia wanadamu hawa wawili wakicheza mpira kwangu mimi najisikia furaha zaidi kuliko hata kumuangalia beyonce akiwa kwenye vazi la bikini akiwa mitaa ya IBIZA
[ATTACH=full]179436[/ATTACH]
[ATTACH=full]179437[/ATTACH]
[ATTACH=full]179438[/ATTACH]
[ATTACH=full]179439[/ATTACH]

da

Messi haitaji kufunga magoli mengi ili awe bora. Messi tayari ni bora

King Messi

anayemzidi messi kwa ubora ktk ulimwengu wa soko alikuwa huyu tu.
[ATTACH=full]179532[/ATTACH]

Exactly.

CR7 ana haters kila kona ila sasa kila siku anawakimbiza kwa rekodi za kila aina.

Hivi ubora mnaupima kwa kipi? Picha? Is this serious?..

Wanaupima ubora kwa ndevu.

Prove

:D:D:D…