Elders today Am broke . Mtu anitolee Gilbeys!

[ATTACH=full]346260[/ATTACH]

Utakunywa chang’aa? Niko na tetracontra distilled. Ya 100bob inekutosha to.

Unakunywa soda kwa counter kama lanye bottom? Meffi wewe

Hakuna tabia mbaya kama mwanaume kuomba pombe.

Ukweli mtupu… Unanunuliwa alafu unaanza kutukanwa na uko hapo tu…

Kama hauna form enda home with your dignity intact…

Wewe ukinunuliwa fobe utaanza kutukana elders hapa, huwezi jicontrol

NEVER…

Mimi ni gentleman bana! Sigwesi tukana elders man!

Thank you!

Mimi mbona wanaume hunio

Okay

Niko counter. Ni tot ya vat69

hii tabia wachia @Azor Ahai. yeye huomba wanaume Pilsner

:smiley:

Halafu D- zikupate na umesota

Halafu uombe sigara na feya.

Tafuta AMG crew, very generous people

Kama huna pesa achana na ulevi