durex condom recall, are we really safe?

Wadau, habari ndio hiyo. Kwa @Wakanyama aka wakameat batallion am sure this doesn’t affect you whatsoever.

[ATTACH=full]187464[/ATTACH]
kama uliona, ni sawa tu

Here there are two things involved, either ulitumia ama hukutumia, kama hukutumia you are safe, kama ulitumia there are two things involved, either ilipasuka ama haikupasuka, kama haikupasuka uko safe, kama ilipasuka there two things involved, mwenzako ako nayo ama hana. Kama hana, you are safe, kama ako nayo, there is only one ending to your sad story.

This song should calm you.

https://www.youtube.com/watch?v=FTYXgXfrf3w

Weee. Mimi niko na box mzima ya sure na ingine ya mafuta. Sponsored by GOK

Hii ni noma. The catch is that wananchi wengi wa kawaida go for the sure and readily available trust condoms. But then there’s still some probability the same defects cut across just that durex company is bold enough to lay it bare.

In Kenya we don’t have people suing for faulty products and getting compensation.

mimi husikia ujinga mwingine hapa…ati Sure are small (humble brags) or they are substandard…

Hi ni sweep ingine refined sana. I’ve noted lately you ain’t sparing guys hapa :D:D
[SIZE=1]@Baby panya umeitwa SDF (small dick fella)[/SIZE]

Condom za gava are the best. Ni vile wasee huku ni birrionaire wannabes na hapan tambua Freebies

punguza friction, punguza accident
boyshaud ni kusaidiana
here is a rubricant for your needs

[ATTACH=full]187475[/ATTACH]

@Webdev hebu Kam kiasi una client uku

Shait niko na box mbili …lakini I must say venye niliona they’ve been made in China…I was hesitant to use.Mia sita goes down the drain just like that…

Siwes tumia sure… Nilimaliza kusugua puthy Nikapata cd imebaki kama ring kwa mkwaju… Luckyly nilikuwa na mtoto msafi asiyekuwa na virusi hatari.

Yaani ununue Durex 250 alafu ipasuke!!!

jifunze kuvaa condom. cha muhimu jifunze kuvalia condom kwa giza—if it is resisting turn it round…and even opening the condom; resist biting open the condom in the heat of the moment as you are likely to tear the rubber inside. the rough side of the condom pack tears off easy while the smooth is hard.
https://media.istockphoto.com/photos/wrapped-condom-isolated-on-a-white-background-picture-id184757778?k=6&m=184757778&s=612x612&w=0&h=DVe4uugUS3wqlFOGq5qEFZDxgBxYawGWsw67Iw5JOJU=
Makosa si ya Sure

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRXuJJta7ElGf8p52FIORJaJCYIk-TezrCgpNmWay3Kmc57aR4V

gay thread

DFHKMBLBH

No more balloons we go out like the earthly plague we are. I secretly wish we all could vanish one day, within seconds of each other.

Hata baiskeli ya herojet inaweza kugonga uende kwa saitan

si unigawie Kaka zangu zimeisha .

Kuna Deluxe ilinipasukia last week…akuna stress nlikula ka io siku…after realizing…mharao just came