DOGGIE STYLE

Kwa taarifa yako tu! Mbwa anaskia makelele kwa aina zote za Muziki wanaofanya wanadamu isipokuwa Reggae tu, anaiskia kuielewa vizuri Sana!

Wanyama wengi wanakata viuno wakati wa kungonoka, baadhi hawakati! Mbwa hukata viuno kwa style ya TWANGA PEPETA!

Hii ndio doggie style. Ongezea kama unacho cha kuongeza!

noma mbwa na mziki wa jah rastafari kumbe wanapatana

Noma sana cha dog

hahahaaaa

Hii style ni tamu balaa…

Niishie hapo…nisije mwaga mchele kwenye kuku wengi

mkuu paka vp umewahi kumuona akipiga gemu

Ha ha haaaa

maana kuna staili ya cat pose ipo juu kuliko dog

Nifundishe nikaifanyie mazoezi

google mkuu

Paka wanatumia kifo CHA MENDE

daaah njoo pm umalizie icho ulichokataa kukisema hapa

kumbe…

mambo yote punda

Hiyo ya punda sijui ikoje nayo!Hebu funguka E Salt!

Dah acha tu, punda anafaidi sana ukiacha ile mijeredi na mizigo… Punda anafaidi

Nice to know that Eve!

Mzigo juu

Acha UBINAFSI, wape Nondo wadau wafaidi