Does Safaricom block Telegram links?

Nikiwa kwa Safaricom data ama wifi links za Telegram huwa zinakataa. Nikiweka SIM card ya Airtel zinago through. Anyone else experience the same?

Wanajua tu unaenda kuona madem wako uchi na video za tabia mbaya huko kwa captain fisk.

Cute boy ata wewe unanyonga na nudes za captain frisk?

Mimi niko Team iPhone msee. Groups za pono huwa hazifungui pale Telegram

Jaribu telegram desktop

install NICEGRAM bro

:D:D
Yaani Telegram ishaharibiwa jina. Ukiwa Telegram most probably lazima ikuwe kwa channel zinaonyesha wanawake wakiwa uchi.

Watu wengi apa telegram ni ya kuwatch ngono sio kaa sisi tunaenda kuinteract na bots uko