Might have been true but the way he narrated it ilikua na gaps. Ama you believe everything you read here?
Gap gani? Actually it is possible he was not even there, labda he heard or read the narration from someone who was there... But hizo gaps mlikuwa mnasema sikuona. Watu walisema ati police kuwaachilia ni gap. Police akiona mtu mgonjwa kwa gari mnaenda hospitali does not waste time with you. I used to post hekayas here kitambo, za msichana kutoa cd kwa dustbin kujaribu kuji-inseminate while i was showering; jamaa mwengine na heshima zake akawa mlevi kufungiliwa kwa kitanda na kunguru akiwa uchi akapatikana na janitor asubuhi bado amejidunga condom, wakavunja mlango; kuchota mtoto wa singo matha police boss huko nakuru asubuhi kungojewa kwa roadblock na kukamatwa...etc. Ikakuwa tu sijui, "uongo! picha , thermal, infrared or it never happened..."
Hehehee..