Dikteta kashindwa na kazi au vipi ?

[MEDIA=twitter]1024675728242237440[/MEDIA]

Ingependeza awe mtendaji mkuu chini ya MTU,sasa tumechelewa,tuisome namba pamoja.

Jeshi la mtu mmoja lazima kazi iwe ngumu kwake kwani hana wasaidizi sio kila kitu lazima asome yeye.

:D:D:D bado hajachelewa, aachie ngazi tu wengine wapande, asituzugeā€¦

Mwongo mkubwa hakuna cha mafaili wala daftari.

Achia ngazi mwana wane ili wanaojua wapige mzigo
Nalog off

Mwehu huyooo

Mafile ni totoz

Time will tellā€¦

Cc: @Mahondaw