Diamond azua gumzo mitandaoni kwa kutoa ahadi ya kuwapeleka wanae marekani

Kwa mara nyingine tena boss wa wasafi azua gumzo baada ya kutoa hadi kubwa ya kuwapeleka marekani kula bata wanae wanaoishi sauzi,tiffa na nillan.

Baadhi ya mashabiki wamelalamikie kitendo hicho cha dai kuwapa kipaumbele princess na prince,huku akimsahau mtoto wa tununu[ATTACH=full]176584[/ATTACH]

Mtoto Wa Mobeto ?

akangarage…

Kila kitu na wakati wake ilianza nyumba ya kna tiffah sauz ikaja ya dyllan bongo now tiffah na nillan kwenda kwa trump baadae dyllan aneza enda Ibiza

Kutesa kwa zamu

Na mtoto wa Gigy Money pia ataenda

Hizo gharama za kuwapeleka hao watoto huko ni za Zari…

Only of Hamisa nae angekua na huo uwezo angemgharamia wake nae…

Cc: @Mahondaw

Aiseeee uwe basi unamuuliza mahodaw kuhusu ubuyu na ushilawadu mwingineo,zari wanasemaga maskini hana hela za kuchezea hivyo mkuu

Wale wakubwa wanajimudu wenyewe hata huyo dyaln siku ikifika ataenda tu kila kitu kina muda wake!

Mchawi pesa

hahahahahaa… gigy hajielewi yule paka

Prince Dylan haitoi kick

Money talks