Degrees Of Doubt Nonsense

In this life kuna Ujanja aina mbili. Ujanja wa Vitabu na kupita mitihani na Ujanja wa kusurvive (Streetsmart). Most of these graduates have just that silly knowledge of reading and memorizing stuff only for exam purposes which is next to useless in modern Kenya.

Ndio maana unaona mtu alikua na A Plain ni teacher wa lower Primary earning 16K per month while the guy who used to be expelled from school for selling bread and cigarettes saa hii ni millionare na C Minus ama D+. The C Minus guy has better Social skills. Mimi nilikuwa hiyo category ya kuuza mikate na postage stamps na kukopesha pesa.

Wewe huna ujanja yoyote.

[ATTACH=full]324551[/ATTACH]

Thread ifungwe ama iendelee?

Shinda hapo ukisomea Degrees saba upate PHD uje tukuajiri kuosha choo

so according to this thread scoring an A is such a bad move…all those who scored A’s are somewhere teaching and earning less than 16k! It’s the norm and not the exception right?
C minus students, on the other hand, are mostly doing great in life right? what kind of reasoning is this? must those who failed at school keep justifying their failures? for your info I was in an original national school where most of us scored B and above…and most of us are doing very well in life. I know it’s hard to believe it but most of us went for further studies and are okay either here in kenya or abroad.

At least in the old days you cleared A levels went to uni you knew mambo itakuwa sawa

Some people make it through[SIZE=6] HUSTLE[/SIZE] others make it through[SIZE=6] BOOKS[/SIZE] others [SIZE=6]BOTH[/SIZE]. Let those who make it through HUSTLE[SIZE=6] not look down upon[/SIZE] books, and let those who make it through Books not look down upon HUSTLE.

[SIZE=6]THE POINT IS MAKING IT IN LIFE WHICHEVER THE PATH OR BOTH[/SIZE]

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Wacha iendelee kiasi, io sweep ilikua appetizer

Mara Japanese should colonize us, mara mtu anafaa awe street-smart, mara African bonobo this bonobo that. Choose one struggle.

Confused mofo

Why am I not surprised

Ilikua main course kabudeng’. Ref alishamaliza match :smiley:

Njenga Karume alikuwa category ya kuchoma makaa, I’m sure that surprises you too.

Ifugwe

[MEDIA=giphy]JAsKtsJvzpd8k[/MEDIA]

Hivi ndio watu hawana masomo hujiconsole

This finally explains all the nonsense you post. Hiyo ujinga yote lazima ingetoka tu kwa akili ya D minus.

So what is your point… Tu eliminate masomo??

Au tu advise kila mtoto aende tu shule awe jangili bora apate grade C na hata D au E

Wahindi D- oversee the hiring of UON first class engineering graduates in their wazees factories…but why are they the ones with factories in the first place? Bonoboism is real, deeply entrenched and incurable but Ktalkers will never admit to this or most likely blissfully ignorant of its existence.

Hapana, tunasema already tunajua employment opportunities Kenya ni kidogo. Badala ya kuexpect ati degree yako itakupea job alafu uanze kucomplain na kublame serikali changamka mapema. Hii maisha mahali imefika inahitaji mse ahustle. Ukipata employmet na ilast more than 3 years iyo ni bahati kubwa, kufika 10 years in employment iyo ni dream in todays world…lazima itapitia layoffs, downsizing, campuni kufungwa and so on. So kupata A ni poa lakini it is not a guarantee that utapata job. Pata A zako lakini pia jipange na skills za kuhustle ndio baadaye usiende NTV kufanya interview ukilia ati ulisoma na hukupata kazi. Ata mtoto ako nursery sai anajua vizuri sana by the time atakua adult kazi zitakua kidogo na we will be in the era of artificial intelligence…job za ma accountant na watu wote procurement na finance zitafanywa na software in the next 15 years and there will be much less jobs available. gari zitakua zinaendeshwa na computer pia so hatutahitaji madriver na makanga.