Daily Sportpesa dry fry

Leo nimechelewa kupost hizo game za turkey zikanipita:( wacha niangalie zenye zimebaki nitafute pesa ya chai ya saa kumi:D:D kama uko na idea changia pia. Iwe tennis, basketball etc changia pamoja tuangamize msoto.

2 Likes

Istanbul Basaksehir win

Kunayo ya 3 pm

Hio game iko latvia at 1415, wekeni over 1.5 firt half. Odds ni 1.85. Ukiweka 1k unapata 850 ya bure. 2k unapata 1600 ya bure:D:D:D

No one has ever made money and let in multitudes on the secret.
Why has no successful tenderprenuer ever posted online how to win lucrative government tenders?
You only want us to share in your miseries when you lose.

2 Likes

Hakuna mtu analazimishwa kubet. Kama ni misery kaa kando.

6 Likes

who do you know in government,

I know Uhuru and Sonko.

endelea kungoja tender,wacha sisi tuunde pesa.

45" FK Ventspils 2-0 (-) Dinamo Riga

Wewe ni mnoma daddy

5 Likes

following

Haiya jinsi nilivyosema:D:D:D hapa kama uliweka upwards of 2k kula pesa zako vizuri:D:D
Wacha nitafute time nifanye analysis ya hizi match zingine:D

2 Likes

Hiyo match haikuwa kwa elitebet, ama unatumia platform ipi?

We jamaa unakuaga na mdomo mingi kuna mtu amekuambia ueke bet? GTFOH

1 Like

Pesa ya jana nimeeka rugby na b ball

Unless aweke odds za jackpot where I stand to win millions. Hizi za 2K zenye mi hukunywa daily zinasaidia na nini?

kuna multi-bet niliweka bado nakaza matter-core tu game ya mwisho ni 8.30 usiku

Ya 8.30 ni game ipi?

Now thats the spirit…wewe tegea mamilioni, na wengine kaa mimi wategee pocket money

ya 8.30 ni AL AHLI JEDDAH vs AL TAAWON ya saudi arabia niliweka 1

1 Like