Curfew

Hii curfew itaendelea hadi ile siku peasants mtaanza nationwide demonstrations. The powers that be are enjoying and probably benefiting from it.

Shida ni ati sissies kama wewe hawataparticipate kwa hio demonstrations… Kwa ivo tukienda tutakaa hatujui tunafanya nini ju wajinga kama wewe watakuwa kwa nyumba… Si unaona ata vile unatubeba ufala ukisema “Mtaanza” sio “Tutaanza”… Umbwa wewe

Mwalimu wa daycare naona umepewa leave leo from kupanguza watoto makamasi

Mimi I can’t demonstrate juu curfew hainiaffect. Nyinyi peasants mnaumia ndio maana nawapea mwakenya.

:D:D Umbwa… Mimi umeona wapi naumia?? Uku kwetu bana ata hakuna curfew… Tunafanya vitu normal… Hujawai jua polisi husumbua maskini pekee??

Mwalimu wa daycare alikuwa birrionea lini?? Funda… Panguza watoto makamasi polepole bila kusumbua.

Meffi wewe

Ukweli mtupu

Anzia tukujoin