Craving

Mimi niko na craving ya sukari ngutu na kashata na hazipatikani hapa mtaani

Pitia pale jamia mosque utazipata…

Tuma aliyekuweka mimba atafute, ata kama atakula marungu za GSU, he’ll prove he’s a responsible man.

Alar!!! ,kumbe ni @Mjusi Kafiri all along nimekua naziita mchuzi kafiri tangu nikiwa kipiiiii

Mimi sio pussy holder it’s just nostalgia ma fren