CR7 new Contract at Juve ni KUFURU

[ul]
[li]Cristiano Ronaldo will earn £500,000-a-week at Juventus after signing a four-year contract.[/li][/ul]

Kweli mwenye nacho huongezewa, hebu tukokote ni Tshs ngapi kwa mapene ya TZ.

1 Pound = 3,000 Approx

Pound 500,000 = 1,500,000,000 Tshs kwa Wiki yaani 1.5 billion kwa wiki

Mshahara wake kwa mwezi = 1.5billion x 4 = 6 billion

Kwa mwaka = 6 b x 12 = 72billion.

Mwenye nacho kaka…

Ndiyo maana wananchi wa Italia wameamua kuandamana, pesa ndefu mno…