Continental Decoder ni Wizi Mtupu, Mko wapi TCRA?

Hiki king’amuzi kwa kweli sasa kime kuwa kero kwa wizi wao. Watu tunaweka malipo kwa kutumia mitandao lakini ajabu hapa Dar es Salaam na hata mikoani hali ni mbaya maana fedha zinapotea na wao hawataki ku activate accounts zetu hadi muda wa malipo unaisha kabisa.
Hivi hapa Dar ofisi zao ziko wapi niwarudishie decoder yao sii taki tena

Mna moyo sana watumiaji

Hichi kisimbuzi ndio kile cha Dialo?

Leo nimegundua sababu kubwa ya wanangu kunung’unika.
Asante mleta mada

Sasa mtu na akili zako unaendaje kununua kingamuzi cha continental??

kitupe jalalani hapo nyuma ya nyumba yako

mambo ya anthony Diaro

Eti continental. Upuuzi mtupu. Hakuna kisimbuzi pate.

Mara nyingi tunapozungumza katika forums hizi ni kuwa tunawazungumzia na wengine wasio na pa kuzungumzia. Unless jitokeze kuzunguka nchi nzima kuonya kuwa hicho king’amuzi hakifai kwa matumizi

Rudi startimes kumenoga

we nae umejitakia. kabisaaa umetoa hela umenunua kidude cha kontinental aisee

Ilivyo wengi wakishakuuzia ifanye Kazi isifanye kwao wanaona haiwahusu tena wanataka isumbue ili ukanunue nyingine waendelee kupiga hela

we

we unategemea msukuma aache kununua mali ya msukuma mwenzake? wagosha. Yakishawakuta ndio wanalalamika

Hmm… Kwani hicho king’amuzi cha Continental mlipewa bure? Maana sijawahi kufikiria kabisa kununua Continental…

Unajua mkuu vitu vingine bhana vinachekesha sana…mtu ukiwa unataka kununua kitu kama hicho fanya kwanza research,…kingamuzi kinamilikiwa na wamiliki wa startv,hapo kuna kitu kweli??