Congame

Nairobi is full of conmen. I learnt the hard way.

So this year kitu hapo April I wanted to sell a laptop I had that was kinda problematic. I had bought the laptop back in 2018 for 35k. It was a 7th gen HP laptop that used to run on an AMD processor. At that time it was a a good deal since it used to serve me well and I needed a laptop badly.

This year from late February the laptop started having problems. From hanging for over 10 minutes to overheating like shit. AMD laptops usually have problems like that after I researched. I decided to change the fan and also the hard disk but it kept having the same problems so I decided to sell it and with my savings get another one. Most of March I was busy so I didn’t have time to sell it but in April I was free nikaamua niuze.

To sell it fast I decided to post it on Jiji and wait for buyers. I had posted it on a Tuesday, the next day on a Wednesday I got a call from a buyer. From her voice she seemed to be a lady in her late 30s to early 40s. I was selling it for 30k but my target price was 25k, I had accepted to take the 10k loss. We talked and she said she didnt have 30k but she could only manage 20k. We continued haggling about the price and finally settled on 25k. We agreed to meet the next day to seal the deal. I got several calls of people asking for the laptop but I ignored them and decided to focus on the woman. I trusted since she was a woman she wouldn’t con me. I have heard several con stories on jiji so I didn’t think it would ever happen to me. We agreed to meet near TRM since that’s where she had her place of business as per her explanation. It was a done deal. Hapo nikajua I would make some money.

The next day, by 10 nilikuwa TRM. Hapo sasa ndo mahali con game ilianza. Nilicall huyo Madam akadai kuna vile ameshikana wacha atume mtoi wake dem akam achukue lappi nikasema sawa. After kitu kama dakika 20 ivi nilivutiwa na dem na voice yake ilikuwa inakaa ya dem ako early 20s. Akadai ako njiani anakamia lappi yenye ametumwa nikamshow fiti nakungoja. After dakika zingine 10 alikuwa ashafika TRM. Akanivutia tukapatana. Akadai nimpee lappi aondokee coz kuna mahali alikuwa anafaa kuenda. Nilikuwa na lappi kwa bag. Before nitoe lappy nikamuuliza doo kwanza iko wapi. Akaniuliza doo ya kufanya nini. Nikamshow si doo ya kubuy lappi si ati napeana bure nikamshow kama hana 30k achoree. Dem aliniangalia akaanza kunicommand nimpee lappi yake yenye ameshabuy. Mimi nilikwara. Alibuy kutoka kwa nani na mimi ndo mwenyewe. Dem alijaribu kuchukua bag na force nikakatalia nayo. Kiasi dem akaanza kushout ati nadai kumuibia na kumcon. Ilianza kukaa ni kama some kind of commotion. I couldnt risk being called a thief bana. Nikaona nijitoe dem saa hio anashout yake yote. Nikaona huku vitu zitaharibika walai. Kuna vile crowd ilikuwa imeanza ku form hapo saa hio nimeanza ku tense yangu yote naeza geuziwa nipigwe mob bana. Luckily kulikuwa na karau alikuwa anapita hapo na landrover alikam kufuatilia nini inaendelea.

Alikam akaulizia ni nini inaendelea. Dem akaanza kushout vile nadai kumcon nikiwa na mmathe flani. Hapo sikuwa nimeshikanisha ni nini inaendelea. Karau alituchukua sisi wote akatupeleka hapo stenje ya kasarani. Akaanza kutuuliza form ilikuwa gani…Mimi nikamshow nilikuwa nauza lappi na niliipost online nikapata customer mathe na akatuma mtoi wake akam achukue atatuma doo baadaye. Dem naye akadai alitumwa na huyo mathe akam achukue lappi kutoka kwa kijana wake after alishamlipa. Hapo nikakam kushikanisha. Uyo mathe kumbe after nilipost picha ya lappi yangu, aliichukua akaenda akaipost facebook akadai anaiuza 25k na juu nairobi haikosangi wajinga huyo dem akaangukia mtego. Huyo dem wakaongea na huyo madam alafu baadaye waka agree amtumie 20k alafu akipata lappi amtumie the remaining 5k. So uyo madam after kupata dooh akamshow aende TRM ametuma ‘kijana wake’ (alimdanganya mimi ni kijana wake) atamletea lappi. Uyo matha naye akanishow ati ametuma mtoi wake dem anakamia lappi na anakam akiwa na doo. Hapo nikajua Nairobi shamba la mawe. Uyo matha alikuwa ameshacon uyo dem 20k so alikuwa anataka ngori iniangukie manze.

Dem haamini ameconniwa bana. Akaulizwa kama akona namba ya uyo madam kupiga ni mteja. Akaulizwa kama akona risiti ya kuuziwa lappi akadai hana ati alituma doo na MPESA. Karau akamshow alichezwa. Karau akaniulizia kama nikona iyo post yenye ilikuwa jiji nikamshow. Akaniulizia kama nikona risiti ya iyo lappi luckily iyo risiti tangu nibuy iyo lappy sijaitoa kwa hiyo bag imekuanga huko ndani tu kwa kamfuko flani kadogo kanafungwa na zip. Nikamtolea risiti akacheki. Uyo dem aliambiwa roho safi wewe uliconniwa manze. Ilibaki karau ameniachia lappi nikajitoa ubaya sasa ilibidi nimemlambisha kakitu ndo aniachilie niende. Saa hio nimewaste fare kuenda hadi roysa na karau ameshanisosi madoo. Lappy yenyewe niliuzia mtu wa cyber na bei ya kutupa.

Nairobi shamba la mawe.

Hekaya timam…with lessons for villagers. Lakini kuiliso…

how possible is it to know somebody by age?

Nikama ulikuwa unataka kuma pia

kweli ni hekaya

Stop being sexist when doing business deals.

You cant know someone’s age by voice but am 100℅ sure you can the tell the voice of a young person and that of an older person.

Mji wa Majambazi

Nai ni shamba la mawe vitu zinamea ni maploti pekee. Ulikuwa na bahati juu ulibeba risiti otherwise hio mali ungerushwa na hao ma D- material. Mimi nakumbuka kabla nibuy lapi yangu ya kwanza nilienda olx na hizo takataka zingine za online kufanya window shopping. Niliona Lenovo moja core i7 inauzwa 20k bei mbuzi olx na nikapiga hio namba iliwekwa hapo. Nilikutana na jamaa tao akaanza kunizungusha mara kwa shop ya second hand laptops achukue charger, mara kwa mezzanine ya building flani anionyeshe mali nikamsho nilikuwa tu nataka kuona lapi but sina cash. I had to go to jamaa alikuwa akiniuzia computer accessories since campus days nikanunua HP core i3 na 35k. I dodged a bullet

Wewe pia ni conman. After 4 years of heavy use and abuse you want to sell a problematic laptop at the same price you bought it 4yrs ago? I was hoping you lost it at the end of the story for being greedy

Reminds of a string of hekayas posted on early 2019. Ninja iliuziwa iPhone 10 imejazwa coins:D

Personally I never second hand items. Ata kama deal ni poa aje I always save and buy brand new ones.