Chuka

Hapa chuka ni wapi naeza osha rungu?

Enda hapo Ndagani unyemelee students was Shuka university.

Vile admin @Electronics4u amesema enda Chuka uni.

Damn wa uni ukiwabuyia tu makali unakuanga sorted most of the time

muringa ventures , juu ya KCB bank.

Leo ni Friday ingia club garage