Kuna ID ya chinku fulani nilipewa na watchman apa sarit centre jana jioni ati nitafutie mwenyewe. Nime trace adi Riana Gardens Maalim Juma Road- kilimani maali kuna construction site. Seems uyo jamaa ni contractor fulani uko, But sijapata contact za io place. [ATTACH=full]238723[/ATTACH]
Sasa tukusaidie aje mkubwa?
ivyo ndo nliuliza watchman pia … hahaha
Hizo kucha zako zinaogofya
i know , thanks
Talons kama za Advark… for digging out termite mounds
Hizo kucha though … medicure muhimu
Kata talons buana
Peleka apo kwa embassy yao …
io kazi yote
mwanaume kaa mimi io hapana