Chelsea wako kichinjio leo.

kush yule mnono

Retired Hekaya Master
#30
Uncle..too early in the day to bounce off Chelsea. Waaay too early. West Ham did look good today tho...:mad: Chelsea needs to watch ManCity and Liverpool hawkishly:mad:.
I am never too sad when Man City lifts the trophy either coz I am here to spite Man U.:D Wacha nione Liverpool taking on Wolves....
Sharap! You should be here cheering your losing team not spite.ing team kubwa, twì hamwe kairetu?
 
REPLICA

Village Elder
#35
Tuchel hana bahati, game yake ya pressing using midfield ishajulikana, game ya Watford Chelsea ilipelekwa mbio sana, they were lucky bastards , ata carrick alishinda yeye na akili
 
uwesmake

THE PRESIDENT
#36
Tuchel hana bahati, game yake ya pressing using midfield ishajulikana, game ya Watford Chelsea ilipelekwa mbio sana, they were lucky bastards , ata carrick alishinda yeye na akili

ni kama Kante ndio huwa ameshikilia hio team . grease nayo imeisha kwa magoti ya Kante , jamaa hucheza ni kama ana own Chelsea
 
Top