Chelsea un23 vs Arsenal un23

Arsenal inauwa yonda. Chelsea 0-6 Arsenal na dakika niya 84 despite Arsenal being one man less

Senior team ndio imekwama kiasi even though things are starting to look up. You have not mentioned the women side…
Wako sawa.

apooo budaboss, ao wadada ni ataaree sana, Vivianne Miedema is my favourate player nowdays(uyu dame ni van basten)

Wako sawa saidi hadi uefa wanahangaisha teams…Wana meet Barcelona

barca ya madem pia iko sawa, wana madem weusi kadhaa apo very good lakin Arsenal ladies itawakula no doubt