Bwana Radi (read: Randy) doing his thing

[ATTACH=full]408354[/ATTACH]

A friend tried to build a flat in a controlled area, so after kukoroga slab the whole day, neighbours came together jioni and pulled out the supporting poles and that is how the slab collapsed. He was forced to sell the plot.

Kuna jamaa huko kwa court pia tulimfanya hivyo. He was converting his maisonette ikuwe gorofa. Tulingoja jioni one of our engineer neighbour akaonyesha some riffraffs from kibera zile supports za kungoa. The whole floor came tumbling down by morning. Kidogo the authorities started sniffing around the owner akatokomea hatujawahi kumuona tena.

Wueeh hiyo ni noma. but saa zingine flats husinya, mtu amejenga bungalow anaishi vizuuri then after 5yrs from nowhere flats zinapanda teketeke shamba next. to make it worse, the rear side ya hizo flats ndio iko pande yako so madirisha za bedrooms na kitchen ziko pande ya kwako. Your bungalow privacy inaishia hapo. ukitoka nje tu unaona jamaa amekuchungulia kwa dirisha

served him right,mtu afuate by-laws