Wadau Kuna buloti nmeitiwa na discount huku matuu area 20 by 55 . Kuna stima na maji bei ya jioni 100/= . Place iko na wasapere na ni kikundi ya wababa inauza