Britexit worries about strawberry pickers

Wachuma strawberries wa UK hutokea Eastern Europe. Sasa kujitawala kwao wanawaza jinsi ya kuwapata wachumaji.

Ingependeza kama vijana wa Commonwealth wangepata visa za kwenda kuchuma strawberry summer time.

Fursa kwa wachumaji karafuu wa Zanzibar. Uzoefu tunao na nia tunayo.

Hata wachumba chai pia wana uzoefu

FURSA.

Nyie hamjui mchezo waafrika tunachezewa na wazungu?
Wanawatumia wafanyibiashara ya watu kununua watu huko northwestern afrika na kuwasafirisha hadi pwani ya Spain na Italy na kuwatelekeza hapo…kisha wanaanza kurushiana Mpira…huyu wapokee wewe …na yule anasema wapokee wewe…watumwa wanapigwa danadana wee hadi wana choka kisha inatokea ile nchi iliyokuwa inawahitaji na kuwachukua kama kuwasaidia kumbe ulikuwa ni mpango uliokuwa umechorwa yangu mwanzo…na kuwapeleka mashambani.