Leo Rais Samia Hassan Suluhu anafanya ziara ya siku mbili nchini kenya, Pamoja na yote lengo la ziara hiyo ni kudumisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili.
Kwa muktadha huo napenda kutoa ushauri kwa uongozi wa Kenyatalk kuborsha mtandao huu pendwa unaotumiwa na watu wengi.
Ni vema mkaiga Jamiiforums ya Tanzania ili kuboresha mtandao wa Kenyatalk
Maeneo ya kuboresha
-
Muonekano wa mtandao hauvutii umekaa shaghala bagala jifunzeni Jamiiforums ya Tanzania
-
Matanagazo yanabore sana, kuweka tangazo kwenye threads inaondoa ladha ya thead.
-
Kuwe na contents adminstrators kwaajili ya kufuatilia mjadala inayoendelea hii itasaidia kupumguza mijadala ya hovyo matusi nk, pia itasaidia mpangilio ya threds mfano heading ya threds kuwa mara na cap letters nyingine zinakuwa small letters ni vurugu tuu.
-
Kuwe na offical app
Asanteni