BODI YA MIKOPO

Bodi ya mikopo why?..Yaaani sijui kama nalia au nacheka. Kinyume cha makubaliano chaniumiza mieeeee.

Mkuu hujaeleweka kabisa

Mkuu shushs stori nzima KiJF bana tukuelewe vizuri

Unakimbilia wapi? Hebu tulia udadavue ili ueleweke…

Bodi ya mikopo imenifanya niishi maisha ya kusikitisha saaana ndugu zangu. Makubaliano hayakuwa hivyo. Ninawashukuru kwa kuniwezesha kupata elimu. Walichonikwaza ni kitendo chao cha kunikata kinyume na makubaliano. Ila napambana kuhakikisha maisha yanaenda.

Kukopa harusi kulipa…

Mkuu ulikubaliana nao vipi.??? Pambana tu coz ni deni lazima ulipe.

HAPO NDIO UTAJUA KUWA ULIJISOMESHA CHUO