Birrionaires only

[ATTACH=full]358234[/ATTACH][ATTACH=full]358235[/ATTACH]

mbota tu ishanunua jalopy

I think ni hiyo suti pamoja na mwenye ameivaa zinauzwa

Mambo zingine apana… There is this one Muthoni who is a presenter at Kameme FM anavalia ya 2M… Zinakuaga na nini extra ordinary??

huyo anajipandisha class na kila asubuhi anaamka akienda kameme kufanyia mshahara kazi, ata supervisor wake hawai io.

I’ve never liked watches. I know if you make the right choice they appreciate, but who really cares. I’m not about to spend money on an overpriced piece of shit because it might appreciate.

Lakini yeye ako fiti kiasi sio kama yule talker fulani… She has a somehow nice life

To be more precise… because I might sell it to the next fool at a higher price. NOT value.

Tudor is s cheaper version of rolex …we billionaires Rolex is our benchmark

Na bado utachelewa kwa meeting

Tic tak, Are they as accurate as my Chinese smartwatch

Which Muthoni?

Muthoni wa Kirumba

Si alitoka Kameme?

Not sure kama alitoka… Ata sijawai mskia kwa redio… Ni interview yake niliona

She has a strong masculine voice but she is quite jovial and lively. Kuna wakati she used to co-host a midmorning show na Ole Matope

She is a ‘bad gal’… She was once suspended for beating another woman wakiwa live kwa studio… Guess she is a talker… Lakini niliskia alianza io mambo akiwa highschool… Alikuwaga peddler

Schooled with her. A good pal.

Huh!