[ATTACH=full]177902[/ATTACH]
Acha kuroga, achukue kwa mpira gani alio nao?
Hadi sasa kuna ramli mbili,wa kwanza kasema belgium,wewe russia,next sijui kitatajwa kikosi gan
:D:D:D
Spain
Russia wakiendelea na kasi yao niliyoiiona jana watafika mbali endapo itaambatana na kuziona nyavu za timu pinzani.
Ila bado sijaona mpira wa Spain, France, Belgium, Uruguay(nitaenda bandani soon) ili niweze kukomenti zaidi juu ya nani anawezaz kuwa kinara
leo hyo Ronaldo sio wa mchezo mchezoooi
Mi kura yangu nasubiri 16 bora
Ila ni kweli, hiyo hatua mambo huwa yanabadilika sana
uruguay unga unga mwana kama ureno tu
Usione Simba kalowana ukadhani ni Paka
Wanaendelea kusonga mbele tu
Ureno wachezaji wanapoteana sana na wanapoteza mipira kizembe
labda World Cup ya Whisky
Belgium na Uruguay .
Germany bado nampa nafasi pia
Sidhani
Muda utazungumza
Sawa ngoja nitandike mkeka
Weka godoro kabisa hahahhaaaaa
Mkeka ndio habari ya mjini