Biashara ya makaa.

I have been thinking of doing this biashara. I have a white pickup with a fibre body that looks like a milk/medical delivery van. Haisimamishwi Sana. What do I need to know? Apart from washing it very clean and having loose 100 bob’s to grease palms za pamba? Buying 700 selling 1700. Jalopy can carry 20 sacks, distance is 90 km away a mix of tarmac and murram

Pamba hawezi kubali kukula mia pekee akijua umebeba contrabands…

Atakuuliza barua ya forest department, bla bla bla…

Kila biz iko na cartels wake, na hao ndio watakuseti ndio wabaki wakitawala.

If you know the source and the market, go for it.

Venye @mtongwe amesema hapa hutapatiana ma 100 jiulize mbona siku izi zinatransportiwa masaa ya giza after ma karao wametoka kwa barabara

Sijui nikuambie nini…but kwa ufupi cartels, kenya forest service…be careful.
Nina hekaya but its too sensitive to be put here…but ukiweza kuwa na mbogi yako pia inaweza saidia…juu uki nyakwa ita bidi uprove umetoa makaa wapi…coz hata kama ni miti yako na unafanya commercial makaa selling…lazima u seek approval from local forest offices…sasa thats where the mbogi comes in sahile uko under hot pursuit the mbogi like kingas the road and diverts the poh poh as you make a quick get a way…its worth it youl make money but then again its not worth it…the hustle it is.
Halafu if your in some cartels turf tutaokota wewe kwa gunia kwa mto…ju tu ya makaa…you have better things to do with your time money and life.
Kuna jamaa alichoma makaa akafuatwa mpaka pahali alikuwa anachomea…wakapata ni hizi old indigenous rare trees…wasee wa serikali waka anza tu ‘wewe unachoma babu yetu’ guy was frogmarched mpaka kwa ofisi ya sirkal akaoneshwa fine ya hio miti…akambiwa for his freedom atoe half the amount…jinga akafikiria ni mchezo…jinga is languishing somewhere.

Cartels lazma wakule zao, i had a farn of trees and recently deforested about 3k trees, nikachoma makaa hizo cut offs na ikatoka like 60+ gunias, i could only do 30 per trip, ya kwanza was successfull, coz twas unexpected, ya pili thoughni kama walikua wananingoja

There’s plenty of money to be made in clean and renewable energy and it doesn’t need bribing the police. Only @chap is allowed to deal in charcoal and kerosene.

Same to timber business. Lazima utakuliwa nanii. Cartels are everywhere. Utaona tu masanse from nowhere.

Lucrative but kfs will give you sleepless nights ESP if there is a forest near you. Here in meru you need a special permit to fall trees if you live at a15 km radius of the forest. But solves everything